Ma house girl wanaharibu watoto

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Leo nikiwa chumbani nimewasikia mahaus gel wanasimuliana, eti mtoto akilia anamchoma na sindano ya kushonea kwenye utosi, nimesikitika sana, mtoto huyo sasa kama taahira.
 
Mmmh hiyo sasa ukatili! Na hatari ya maambukizi ya magonjwa mengine ni nje nje....kwa kuwa sindano inakuwa sio sterile.
 
Leo nikiwa chumbani nimewasikia mahaus gel wanasimuliana, eti mtoto akilia anamchoma na sindano ya kushonea kwenye utosi, nimesikitika sana, mtoto huyo sasa kama taahira.

duh! Huo ni ukatili, kama unawajua washtaki kwa maboc asa huyo anayemchoma mtoto cndano, mana kama kawa taahira ndo keshamwaribu, inasikitisha sana.
 
Stori za kutunga hizo! Una-assume akichomwa sindano inatikisa ubongo afu anakuwa taahira tuu! Unajua jinsi mwili wa binadamu ulivyo coordinated? Na kidonda cha kuchomwa sindano kinajiponea tu kila wakati? Aaahggghhh!
 
Seriously.....anamchoma sindano kabisa?? Tena utosini? Labda utupe data kamili....

Jana usiku uleule nikamjulisha baba wa mtoto muathirika. Kaenda polisi, polisi waewatia nguvuni ma hausgel wawili. Wote wamekiri, na huenda leo wakapandisnwa kizimbani
 
House girl aua mtoto kinyama
mtoto auawa kinyama sinza.jpg

Posted by admin 102 days ago in Habari
Mtoto mwenye umri wa miezi saba, Anjela David, anadaiwa kuuawa na mfanyakazi wa ndani jijini Dar es Salaam na kisha kutoroka na mizigo yake. Akizungumza na NIPASHE jana jijini Dar es Salaam, baba mzazi wa mtoto huyo, David Salakana, mkazi wa Sinza Afrika Sana alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi, ingawa hana uhakika na muda kamili kitendo hicho kilipofanyika. Alisema kuwa juzi majira ya asubuhi

Hii ipo haya majakazi yamekuwa madudu sana miaka hii.
 
Kuna mengi sana watoto wanafanyiwagwa na housegals wakiwaga wenyewe mengine hutaki hata kufahamu
 
naweza kufa nikijua! MUNGU atulindie na kuwatunza watoto wetu, AMEN!
 
ila naskia huwa wakina mama ndo huwa wanasababisha kwa kutowajali ma haus gel,kuwafokea saa zote,mara kuwakata mishahara endapo akivunja glass au kuharibu kitu chochote,so hasira zooote huwa zinaishia kwa watoto pindi mkienda kazini
 
Its so painful kama ni kweli.

ila jamani tujitahidi tuwatreat vizuri hawa wadada,wao ndo wanakaa na watoto wetu muda mwingi,mi sidhani kama ukimtendea vizur atawatreat ovyo wanao. tatizo kubwa ni kuwa majority of us tunawatreat vibaya japo hii isiwe sababu ya wao kutuumizia watoto wetu.
 
ila naskia huwa wakina mama ndo huwa wanasababisha kwa kutowajali ma haus gel,kuwafokea saa zote,mara kuwakata mishahara endapo akivunja glass au kuharibu kitu chochote,so hasira zooote huwa zinaishia kwa watoto pindi mkienda kazini

Yo right wengine huwa wanafanya hivyo,hebu imajini umkate mshahara kwa kuvunja glass! hata yy mwenyewe anaweza kuvunja wakati wa kusafisha. sasa kwa mdada mwenye akili mbaya ukiondoka wanao wanaipata.
 
Kama watoto wetu wadogo wangepewa uwezo wa kuelezea mambo yote mabaya watendewayo na hawa wa dada wetu wa kazi, Kwa hakika wazazi tungewafunga hawa wadada muda kadhaa jela..
Au ukibaatika kuona anamfanyia mtoto wako jambo la ajabu unaweza kuzimia kwanza.
Ila twendeni nao taratibu na tuwapende,hasa wanawake nyie ndo mnawanyanyasa sana..Muache
 
Back
Top Bottom