Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

Inategemea weye kuna mahandsome wanapiga pmb si mchezo japo wachache
kama nanii....
 
hahahhahahaha nimekusamehe tayari!
kumbe una stress za kunyimwa mkopo?
hakyamama JF kweli kichaka!
kwa hiyo unaamini wote humu tuna omba mikopo ya vyuo?
mxiiiiiiiiiiou
sura kama unapiga mswaki!

hahaha Jf raha
sura kama unapiga mswaki Lol
ngoja niihifadhi for future use
 
Hivi kwa nini wanaume tunapenda kujisifia kuwa tunajua kuwalala wadada, au tuna mihogo ya jang'ombe? Its like kila mwanaume lazma a brag kuhusu hivo vitu..khaaa!!

Na wengi wa hao wanaojisifia sifia ni vimeo wa hatari..!
 
jamani mimi mbona naambiwa ni handsome, and i always try my level best at bed! au am not handsome as they say?
#the man himself#
 
Ni kweli sis sura za mbuzi tunajituma kinoma, ndio siraha yetu msingi kiuno.
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Kundi la mwisho: ni ndugu zangu namimi, sio mahandsome na wala hatuna pesa... aisee, mwanamke usimuachie mbunye mwanaume wa aina hii... lazima iote sugu, tena utakimbia na chupi mkononi, atakusugua mpaka utasikia raha baadae itakuwa maumivu na kero.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa. Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
..............................................
UPDATE: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe MCHUNGUZI HURU umejuaje kuhusu hilo swala"
Kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au Kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
....................

MCHUNGUZI HURU

Ufundi sio kukesha kifuani kwa Mdada na kutumia maguvu yote na kumchubua. Kikubwa kuliko yote ni maandalzi, utayari na ushirikiano kwa wawili hao.
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Kundi la mwisho: ni ndugu zangu namimi, sio mahandsome na wala hatuna pesa... aisee, mwanamke usimuachie mbunye mwanaume wa aina hii... lazima iote sugu, tena utakimbia na chupi mkononi, atakusugua mpaka utasikia raha baadae itakuwa maumivu na kero.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa. Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
..............................................
UPDATE: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe MCHUNGUZI HURU umejuaje kuhusu hilo swala"
Kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au Kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
....................

MCHUNGUZI HURU

ashakum si matusi ila this is one of the stupidest post inayohusu mapenzi na kubanjuana

kwa wale wanaojua, ni kwamba sex si sanaa... kama vile kuchora, kucheza soka, kuchonga vinyago au hata kuimba!!!

it is about how good a man communicate to to a woman during intimacy, it is not about looks, money or age, it is about the talent

ndio maana unaweza kuwa na watoto wa kiume, na wakiwa hata na miaka mitano ukajua yupi anajua kulea mabinti, its from the way he handles his sistes, aunties, bibiz na hasa mama... they touch different, they different eyes contact, automatic smile and know the good thing

i strongly believe kwamba you are a defeate personality, ambaye umeshindwa kujua nini ni nini na wapi ni wapi... unadhani kila mwenye pesa ana ego, au kila mwenye looks ni bishoo..... utalia sana wakianza kukugongea rasmi

ili kukupa benefit of a doubt, sometimes mwenye looks au pesa anaweza kudharau taste isiyo yake na either akaitosa bila kuionja (which is very common) au akaonja na kugundua anapoteza muda, hivyo akaiacha katikati au kutoipa umuhimu wa maana

kuna ugly people, poor people, clueless people wasiweza hata kujua demu anataka nini kabla na bada ya tendo

jifunze sana ili uwe mwanafunzi mzuri wa maisha
 
Naona sura mbuzi wanajipigia promo hapa,hakuna connection ya sura na peformance bed,uwezo binafsi ubunifu na kujituma ndo siri ya mafanikio.so kauli ifutwe
 
Back
Top Bottom