THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,776
Imesahau kuna chenchi ya 8000 aliyerudishiwa mteja eeeJibu ni A. 12,000/=
Hasara ya kwanza ni mkate wa alfu 2 ambao mteja keshachukua;
Hasara ya pili ni tsh alf 10 feki uliyomuomba change jirani na baadaye akahitaji umrejeshee.
Jumla inakuwa 12,000/=
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Naww unakichwa kigumu ka jiwe..Mteja kaondoka na 8000+2000
Jamaa alichukua 10000 kwa jirani then akamrudishia original baada ya kwakwe kuwa ni fake
Jumla jumla shi ngapi hapo?
Wewe ndiyo umechanganya madesaNaww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.
Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndiyo umechanganya madesa
Naww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.
Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
Malizia Hesabu mkuu, 10000 nzima na 2000 ya mkate, Mkate si una thamani tayari.Naww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.
Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
Alipewa elf 10 feki akaenda nayo duka la pili kuomba chenzi baada ya kupewa chenji akamrudishia mnunuzi 8000 pamoja na mkate wa thaman ya 2000.Malizia Hesabu mkuu, 10000 nzima na 2000 ya mkate, Mkate si una thamani tayari.
sipokeagi pesa feki nipo makini.. ni uzembe na kosa kisheria kukutwa na pesa fekiAlipewa elf 10 feki akaenda nayo duka la pili kuomba chenzi baada ya kupewa chenji akamrudishia mnunuzi 8000 pamoja na mkate wa thaman ya 2000.
Hivyo utambue kwamba mpaka hapo yeye hakula hasara yoyote kwakuwa ile 8000 ilitoka duka la jiran alikoomba chenji.
Baadaye yule wa duka la jirni akaja kudai elf 10 yake kwan alipewa feki hivyo jamaa katoa 10000 kumpa duka jirani.
Hivyo hasara ni tsh 10000 nzima na 2000 ya mkate ambayo ni 12000 jumla..
Jaman hata wachaga hampo humu mtusaidie!? miss chagga uko wapi? Au hujazoea kuuza duka aisee
Wakat mwingne znachanganyasipokeagi pesa feki nipo makini.. ni uzembe na kosa kisheria kukutwa na pesa feki
me hawajanikamataWakat mwingne znachanganya
Nakuona nakuona genius wa kupanda juu wakati wa mambo yetu yale![emoji53][emoji53][emoji53]