Ma genius mkuje huku

Ma genius mkuje huku

Jibu ni A. 12,000/=

Hasara ya kwanza ni mkate wa alfu 2 ambao mteja keshachukua;

Hasara ya pili ni tsh alf 10 feki uliyomuomba change jirani na baadaye akahitaji umrejeshee.

Jumla inakuwa 12,000/=

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Imesahau kuna chenchi ya 8000 aliyerudishiwa mteja eee

sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
 
Mteja kaondoka na 8000+2000
Jamaa alichukua 10000 kwa jirani then akamrudishia original baada ya kwakwe kuwa ni fake
Jumla jumla shi ngapi hapo?
Naww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.

Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
 
Naww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.

Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
Wewe ndiyo umechanganya madesa
 
Watu wana vichwa vigumu kama mawe, mteja kapata faida 8000+mkate2000, jiran karudishiwa chake 10000 so mwenye duka ndo kaingizwa mkenge 10000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naww unakichwa kigumu ka jiwe..
8000 aliyorudisha chenji haikutoka dukani kwake Bali ilitoka kwa jirani yake ambaye alikuja kuirudisha.

Kwahyo hasara yake ni 10000 nzima na mkate ulioenda bure.
Malizia Hesabu mkuu, 10000 nzima na 2000 ya mkate, Mkate si una thamani tayari.
 
Hasara ni Elfu 8 pamoja na mkate.... Kwa thakani ya mkate jumla ni 10000.......

Maana jirani ulimpa elfu kumi fake ye akakupa change kisha katika change uliopewa ukatoa elfu 8 , so ukimrudishia jirani 10 yake aliokupa change asa itakua 8 na mkate uliompa tapeli......!
 
Hahha, Simply ni hivi, jirani alivyorudisha hela ni sawa tu na jamaa angetoa Chenji mwenyewe, Hivyo basi angetoa 8000 na bado angetoa mkate wenye thamani ya 2000 hivyo hasara ni 10000. Huyo jirani hapo hausiki maana hela feki alishairudisha kwa muhusika, hivyo hesabu nzuri inaanzia kwa muhusika pasipo kumshirikisha jirani kabisa. Unless kama jirani asingeshtuka, basi Hesabu ingefanywa kwa mtindo wa tofauti na jibu lingekuwa tofauti, Ila so Far Jibu ni C. 10000
 
Malizia Hesabu mkuu, 10000 nzima na 2000 ya mkate, Mkate si una thamani tayari.
Alipewa elf 10 feki akaenda nayo duka la pili kuomba chenzi baada ya kupewa chenji akamrudishia mnunuzi 8000 pamoja na mkate wa thaman ya 2000.

Hivyo utambue kwamba mpaka hapo yeye hakula hasara yoyote kwakuwa ile 8000 ilitoka duka la jiran alikoomba chenji.

Baadaye yule wa duka la jirni akaja kudai elf 10 yake kwan alipewa feki hivyo jamaa katoa 10000 kumpa duka jirani.

Hivyo hasara ni tsh 10000 nzima na 2000 ya mkate ambayo ni 12000 jumla..

Jaman hata wachaga hampo humu mtusaidie!? miss chagga uko wapi? Au hujazoea kuuza duka aisee
 
sipokeagi pesa feki nipo makini.. ni uzembe na kosa kisheria kukutwa na pesa feki
 
jibu ni
mkate dogo_________________2000tsh
chenchiii____________________8000tsh
jirani 10000tsh __10000tsh=_________0
jumla hasara ya elfu 10000 ya dogo mkate + chenchiiiii

hasara ni 10000tsh
 
Unakuwa umekula hasara ya mkate 2000 aawa na umetoa bure plus ile 10000 uliyopewa xo total 12
 
Back
Top Bottom