Ma genius mkuje huku

Ma genius mkuje huku

1. Muuza duka kauza mkate kwa shilingi 2000 halali toka kwa jirani = Hasara 0

2. Muuza duka kalipa 10,000 kwa jirani = hasara 10,000

Kwa hiyo hapo Hasara ni 10,000 - Faida ya Mkate.
 
Hili c jibu, bali ni Jawabu sahihi ni "C"....
Ile 2000 imetoka na imeziba mkate.....
10,000 imepotea unaweza sema hivyo kwa lugha rahisi....
 
Mwenye duka kapata hasara ya sh elfu kumi aliyompa jirani aliyetoa chenji na sh elfu mbili ya mkate aliyompa mteja... Total ni 12000.
Elfu 2 ya mkate ilikuwa sio hasara, kumbuka mkate ulikuwa umenunuliwa na elfumbili halali kabisa... kwenye droo la mwenye duka kuna elfu mbili halali (sio fake) ya malipo ya mkate.
 
Jibu ni A. 12,000/=

Hasara ya kwanza ni mkate wa alfu 2 ambao mteja keshachukua;

Hasara ya pili ni tsh alf 10 feki uliyomuomba change jirani na baadaye akahitaji umrejeshee.

Jumla inakuwa 12,000/=

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Mkate haukuwa hasara, mkate ulinunuliwa kwa elfu mbili halali
 
Katika transaction ya kwanza kati ya dogo, mwenye duka na jirani, mkate haukuuzwa kwa hasara ila karatasi la pesa halali kabisa liliingia kwenye droo... ila kwenye transaction ya pili kati ya jirani na mwenye duka ndio mkate uligeuka kuwa hasara (shs 2000) ikarudi kwa jirani pamoja na elfu nane nyingine kutoka kwenye droo la mwenye duka nayo ikarudi kwa jirani
 
Huu ni uongo mwingine. Unasahau kuwa chenji ilitoka kwa jirani huyo huyo

Hahahahahahahahahahah...daaa!
Kweli mkuu, Muuza duka ndio amepata hasara ya Tsh.12,000.

Mteja kaja na karatasi, kaondoka na mkate wenye thamani ya Tsh. 2,000 na kumlipa jirani Tsh. 10,000 halali.
 
Bibie unasahau mkate, elf 10 tayari anayo feki kwenye droo yake, je mkate umeshaondoka na mwizi wake
sasa mkate si ndio amembadilishia kwa hiyo 10,000 feki? kwa mantiki yako hiyo unamaanisha angempa hiyo 10,000 feki bila ya yeye kumpa mkate still angekuwa na hasara, kitu ambacho sio kweli
 
Back
Top Bottom