Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,931
C. Mkate(2000) na chenji (8000) jumla shilling 10000
Vipi kuhusu ile 10,000 kwa duka jirani?
C. Mkate(2000) na chenji (8000) jumla shilling 10000
Plus 10000 ambayo umemrudishia jirani kwa kumpa pesa feki jumla itakuwa 20000Hasara ni 10000.
Yani ni sawasawa mtu aje akupe 10000 feki yani haina thamani yani sawasawa hajakupa kitu halafu wewe unampa 8000 na mkate wa 2000 bure.
Inamaana umepata hasara ya 10000.
Simple.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndiyo jibu sahihi
Mko sahihi nilikuwa nawapima wenginejibu ni c acha ubishi wewe
Nauhakika jibu lako linaweza likawa sio sahihii mkuu. kama umeweka kosa kwenye jibu sahihi
Mwenye duka kapata hasara ya sh elfu kumi aliyompa jirani aliyetoa chenji na sh elfu mbili ya mkate aliyompa mteja... Total ni 12000.Mteja alipata profit 10000 ,8000+2000mkate, jiran alirudishiwa 10000 ile ile, mwenye duka ndo kalizwa buku 10000
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha sawaKwanza somo la hesabu lenyew nilipata F hata hapa nmejitahidi![]()
![]()
![]()
Na elfu nane ya change unaiweka wapi10000 aliyoirudisha alikoomba chenji + na elf mbili ya mkate == 12000.
Kwahyo hasara ni 12000
8000 aliitoa kwa jirani alioomba chenji hvyo haikutoka mfukon mwakeNa elfu nane ya change unaiweka wapi
Jibu ni A. 12,000/=
Hasara ya kwanza ni mkate wa alfu 2 ambao mteja keshachukua;
Hasara ya pili ni tsh alf 10 feki uliyomuomba change jirani na baadaye akahitaji umrejeshee.
Jumla inakuwa 12,000/=
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
excellent10000 unayolipa kwa jirani.
8000 alizoenda nazo mteja
2000 ya mkate
Jumla hasara ya 20000.

Mteja kaondoka na 8000+20008000 aliitoa kwa jirani alioomba chenji hvyo haikutoka mfukon mwake
A
Kumbuka kwamba aliekuwa ale hasara ni jirani alieombwa chenchi ambayo ni sh. 10,000 then alivyogundua kuwa ni feki ndio akarudi kwa mwenye duka akarudishiwa hela yake kwa hio mwenye duka ndio ana hasara ya sh. 10,000Jibu ni A. 12,000/=
Hasara ya kwanza ni mkate wa alfu 2 ambao mteja keshachukua;
Hasara ya pili ni tsh alf 10 feki uliyomuomba change jirani na baadaye akahitaji umrejeshee.
Jumla inakuwa 12,000/=
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.