Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,237
- 6,610
Mkuu mbona unahasira.
[emoji23] [emoji23] hapana mkuu chemsha bongoMkuu mbona unahasira.
mkateHasara ni elf 8 tu.
mkate katoa bureHasara ni elf 8 tu.
Nauhakika jibu lako linaweza likawa sio sahihii mkuu. kama umeweka kosa kwenye jibu sahihi
jibu ni c acha ubishi wewe
Kumbuka alikuwa amepewa chenji sh 10000D
Mkate wa dogo. 2000
Chenchi uliompa dogo 8000
Hela uliomrudishia duka jiran 10,000
Jumla hasara 20,000
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app