Isac M
Senior Member
- Mar 9, 2014
- 113
- 76
umeanzaNakuona nakuona genius wa kupanda juu wakati wa mambo yetu yale!![]()
Duh! Kweli we mchaga
Maswali ya chekechea hayo!
Si unaona watu wenye degree zao wamechemkaMaswali ya chekechea hayo!
Za kununua labda! Inawezekana na ndo maana wabongo wengi wanachukia somo la hesabu - Math ni logic tu!
Kweli nimeamini hesabu ni kaugonjwa ka taiga lol!!
Hasara hapo ni Tsh 10000 tu.
Kama ningeambiwa nijitetee, ningesema hivi.
Jibu ni D, kwa sababu:
1. Hasara 2,000 (Mkate)
2. Hasara 8,000 (chenchi kwa mteja)
3. Hasara 10,000 (fidia kwa jirani)
Jumla ya hasara ni 20,000= 10,000+8,000+2,000.
Kumbuka alivyokupa elfu 10 feki wewe ulienda kuomba chenji kwa jirani hiyo chenji uliyompa hukutoa kwenye fedha zako. Hadi hapo ulikuwa umeuza mkate wako safi kabisa ila yule jirani ndio alikuwa amepata hasara ya elfu 10 yote aliyokup chenji. Hivyo alivyorudi jioni ukampa elfu 10 halali(hii yote umeitoa kwenye droo yako) ina maana ni hasara kwako. Maana umebaki na elfu 10 feki but kumbuka ule mkate uliouza una faida yake(lets say 200), hivyo hasara kwako ni 10,000 toa FAIDA YA KWENYE ULE MKATE.
Kwa maana nyingine hapo ni kuwa tukiamua kupotezea faida ndogo ya kwenye ule mkate basi hasara kwako ni elf 10 tu(8000 + mkate).