Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.
Kweli fedha ndo kila kitu.

Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.
Kweli fedha ndo kila kitu.
Magufuli a.k.a. kichwa kama tikiti majiTena ni kampeni ambayo Magufuli hatasikika kabisa......