ditto wa ditto
Member
- Jul 29, 2015
- 18
- 4
Nyie ukawa(chadema) ni manyumbu kweli akiingoza mmoja tuu wore mnafuata,pumbavu kweli nyie.
Kama hilo litasaidia kuondowa utawala wa kipumbavu wa ccm, no problem.Msemaji wa Chadema humu jamvini ni TeamLowassa na sio Tumain makene
Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria
Mkuu hawa Magamba nishawambia hizo propaganda zao chafu wanazoleta juu ya Chadema na Ukawa ndio zinazidi kutuimarisha, Wameshindwa kumuongelea Mgombea wao kazi yao imebaki ni Chadema na Ukawa tu.
Mnyika yuko wapi vile?bado ni mgonjwa?