M4C yatekwa na Friends of Lowassa

M4C yatekwa na Friends of Lowassa

Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria
nitafurahi sana kama selasini atakukumbuka angalau uwe msaidizi wa msaidizi wa kampeni meneja wake. maana na wewe unatia huruma kweli kweli.
 
Una pesa ya kusafiri wewe chizi tafuteni brush na rangi mamvi ang'are watanzania tupo wengi hatuna akili za kushikiwa
 
nitafurahi sana kama selasini atakukumbuka angalau uwe msaidizi wa msaidizi wa kampeni meneja wake. maana na wewe unatia huruma kweli kweli.

Watu msio na akili ndo mnatusumbua hili taifa. Hoja ya kumsakama mtu badala ya kuchangia hoja ni upumbav mkubwa mno. Hovyo kabisa wewe. Akili kama za nyumbu kabisa
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.
Haya siku imeshaingia nenda kachukue buku7 zako lumumba
 
Muongo ...tupo huku m4c.....subir mziki wa mwaka huuu

Ufisadi ni mfumo na wala siyo sifa ya mtu. Kwa kuwa mfumo umezalisha ufisadi waliopo kwenye mfumo huo wanakuwa mafisadi moja kwa moja. Mtu anayeweza kutoka kwenye mfumo huo ni sawa na mtu aliyefunguka macho na kuona kuwa amekaa katika uozo wa aina fulani. Mtu anayeweza kuona hilo na kutoka anakuwa kiumbe kipya. kwa maneno mengine ya kale yanapita na anakuwa mtu mpya mwenye mrengo mpya na maona mapya katika jamii na maisha yake.
 
Hapo sawa mkuu...yaan ccm wana siasa muflis ....wanasingizia watu kuwa mafisadi wakati wao ndio wanahonga na wananchi wanawajua mwaka huu watawamaliza .....
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.
Penye uzia penyeza rupia watakushangilia hata kama shetani utaonekana mtakatifu.
 
Ingekua kura za uchaguzi zinapigwa JF basi waoza meno mungechukua nchi
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

sasa si ndiyo vizuri ili ccm ishinde ....msalimie prof. Lipumba
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Ni AC IPI ilitumika kulipa hizo hela?
 
duu MMECHELEWA SN hapa ilipofikia sio kwa utashi wa mwanadamu tuu ila ni kwa MAPENZI YA MUNGU kwa hakuna aliyejua kitakacho jiri , kwa EL kuhamia UKUTA sio ukawa tena kwan huwa mna mwemwe sn na hilo JINA mara ukiwa imekula kwenu
 
Back
Top Bottom