M4C yatekwa na Friends of Lowassa

Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Kula ndimu nyingi, pilipilli yakutosha na maembe mabichi itakusaidia

Naona mwezi mchanga unakusumbua
 
Friends of Lowasa sasa hivi ni CHADEMA, BAVICHA, BAWACHA na ni wamoja katika UKaWA. Usitake kutumia dhana ya matabaka na makundi ya ccm kutugawa. Waache wachape kazi ya kuuletea UKaWA ushindi.

Kwa sasa tafuta uwongo mwingine wenye ladha. kama vile "Friends of Lowasa wampigia kampeni Magufuli", au "Friends of Lowasa wawa enemies of ukawa". n.k n.k.

Kama huna, nenda kalale usubiri moto wa UKAWA, ili uelewe kile tunachokuambia "Fitina za ccm zaimarisha nguvu ya UKAWA".
 
Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria
Kampeni ya kutumia ma kununua watu kwa pesa mnaiweza sana. Si ndio sera yenu? Mmebadili upepo wa mabadiliko umekuwa upepo wa ufisadi wa matumizi ya hela chafu. Mwenyekiti wenu amewaonyesha njia. Follow likewise
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Ungelezea kidogo, kivipi wametekwa? Maana upo kishabikishabiki tu!
 
Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria

Tupo tayari Kula pilau ,kuchukuwa posho pamoja na kumsikiliza diamond lakini Kura HAPANAkwa fisadi Lowassa.
 
Siku ya jumatatu tarehe 10
kamanda Lowassa anaenda
kuchukuwa form tume na Ratiba
itakuwa hivi
Saa 3 asubuhi wanaUkawa
watakusanyika makao makuu ya
Cuf
Safari itaanzia hapo na Rais
mtarajiwa akiwepo moja kwa
moja mpaka Tume,
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Mtaweweseka sana msimu huu
 
Ukiona wakaribia kufa lazima utafute visingizio kuwa umehuhujumiwa.
 
M4C haiwezi ikatekwa kirahisi namna hiyo, speed yake haiwezi ikaendana na watu wakuja. Kama kuna kitu kingine ulitaka kusema na useme sasa.
 
Friends of Lowasa sasa hivi ni CHADEMA, BAVICHA, BAWACHA na ni wamoja katika UKaWA. Usitake kutumia dhana ya matabaka na makundi ya ccm kutugawa. Waache wachape kazi ya kuuletea UKaWA ushindi.

Kwa sasa tafuta uwongo mwingine wenye ladha. kama vile "Friends of Lowasa wampigia kampeni Magufuli", au "Friends of Lowasa wawa enemies of ukawa". n.k n.k.

Kama huna, nenda kalale usubiri moto wa UKAWA, ili uelewe kile tunachokuambia "Fitina za ccm zaimarisha nguvu ya UKAWA".
hahaaa cc mussa alan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom