M4C yatekwa na Friends of Lowassa

Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Kamawanenda kuwapigia kampeni akina Lissu,Mnyika & coy wala haina shida!!!!!!!!!!Labda kama una kingine...
 
Unatakiwa kuona mbali. Usidhani UKAWA kuna makundi kama ccm ambayo yanaundiwa tume lakini bado hayachangamani kama mafuta na maji kwa miaka 10 sasa.

CHADEMA ni moja na haitakuwa na makundi kama ya ccm. UKAWa ni moja na ndiyo maan tunaongea lugha moa na kuelewana. Tunakwenda kujenga Tazania moja kwa ajli ya Watanzania.

Tafuta mapigo mengine, ngoma yako haichezeki kwetu.
 
Shida ni Nini, Tunachotaka Ni Ushindi dhidi ya CCM, Hata Sheltani Akija UKAWA Kuongeza Nguvu Apokelewe tu. Ebu Tuambie Walio wasafi

Ndani ya CCM, Wale Wanaokuaminisha Kuwa Wakiendelea Kutawala Watakukumbuka Wewe Kabwela.
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Mnajitahidi kweli kututoa nje ya mstari.Mmechelewa sana.Zimebaki siku 14 tuanze kampeni ya nguvu na ya kihistoria
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

nenda kachukue chako pale lumumba kwamba ujumbe umefika!
 
Watu wana akili zao wanajua mleta uzi ni adui tu, ni aina mojawpo ya akina nepi!
 
Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa.

Kweli fedha ndo kila kitu.

Yanakuhusu nini Wewe
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom