Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,014
- 32,463
hujanielewa tu mkuu. Nimesema jamaa ni mdini, mbaya zaidi hata kwenye siasa utamkuta kavaa pekos! Kama vp potezea!
Mtuu kama huyu eti ndio anakemea udini JF.
hujanielewa tu mkuu. Nimesema jamaa ni mdini, mbaya zaidi hata kwenye siasa utamkuta kavaa pekos! Kama vp potezea!
Sijui kwa nini Pro-Chadema wengi JF hawawapendi waislam si unaona kejeli zao.