M4C yaisambaratisha CCM JF!

M4C yaisambaratisha CCM JF!

wao wanatumia pesa sisi tuna Mungu.pesa sikiisha ndo mwisho wao lakini Mungu fadhili zake za dumu mile na mile

Ahaa haaaa kama kweli mna Mungu msingeomba pesa mngeomba mchangiwe vitabu vya dini acheni uongo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nepi sijui hata alikuwa anaongea nini maana hata waandishi walikuwa wanajisikia kucheka
 
CCM itakoma maana hata mimi mwenye huruma, na wamwisho kwenye juamua; Nimeipenda cdm kwa sana, na nimeiamini kama mtoto kwa mama.
 
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!

Hapo kwenye Redi mkuu emu weka vizuri. Si kwamba Ritz nae anauweza moto wa M4C hapa JF bali ni mtu aliyeshindwa vita hapa jamvini lakini anashindwa kukiri. Wakumbukwe kina Mwita25, Rejao, Malaria Sugu, TII, PAA, Mwanahalis, TUNTEMEKE nk waliokiri kushindwa kupambana kimya kimya na kupotea kusikojulikana.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Cdm iliposhinda Arumeru, nimethibitisha kwamba ccm hakuna tena! Do you remember that many Pro CCMs went there 4 political rallies. Eg lowasa, nape, wasira, lusinde, etc but finally bwerereeeee! Nyie watu nawambia hamna atakaeweza shindana na MUNGU.
 
jf kila kitu kiko waziii kabisa!
 
Leo nape anaanzisha la Michango ya M4C kisa Ul;imboka karudi nasi hatuwezi kuacha kuongelea la Dr ngoja wawaaache uchi sasa
 
Mungu ndiye anayezidi kuwafunulia waja wake mbinu na namna ya kupata pesa kihalali kwa ajili ya kuendeleza

mapambano hadi kieleweke.

Unaona namna nchi inavyozidi kuliwa na watu wachache walioko madarakani na vibaraka wake kwa sababu ya pesa chafu za kifisadi?

Ahaa haaaa kama kweli mna Mungu msingeomba pesa mngeomba mchangiwe vitabu vya dini acheni uongo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!

Mkuu Ritz ni CDM damu, tatizo lake ni kwasababu ni mdini. Jamaa ni wa ile dini ya suruali za pekos!
 
Last edited by a moderator:
This game is unplayable by chama cha mabwepande!!!!!!!!!!!!!!!Watu wamefunguka,watadanganywa nini tena?
 
Mkuu Ritz ni CDM damu, tatizo lake ni kwasababu ni mdini. Jamaa ni wa ile dini ya suruali za pekos!

Kwa hiyo unamaanisha sera za CDM na dini unayoita ya suruali ya pekos ni vitu viwili tofauti? ebu jaribu kushirikisha ubongo kabla kuanza kutema pumba.
 
Kwa hiyo unamaanisha sera za CDM na dini unayoita ya suruali ya pekos ni vitu viwili tofauti? ebu jaribu kushirikisha ubongo kabla kuanza kutema pumba.

hujanielewa tu mkuu. Nimesema jamaa ni mdini, mbaya zaidi hata kwenye siasa utamkuta kavaa pekos! Kama vp potezea!
 
Misukule ya Nape iko kwenye mgomo kwa madai kuwa Nape anawapiga panga kwenye posho zao.
 
Misukule ya Nape iko kwenye mgomo kwa madai kuwa Nape anawapiga panga kwenye posho zao.

Nasikia wananunuliwa Modem za Airtel na bundle ya mwezi na 15,000 wakati jamaa anachukua 'mzigo' mzito kwa bosi wake kwa madai ya kuwa ana 'kazi maalum'
 
M4C daima itasonga mbele na product zake mtaziona 2015,Nape aliongea hoja mfu na zisizo na mashiko wala mtazamo wa kisiasa,zaidi alionekana kuwa mwanasiasa mwenye kuishiwa hoja za kukijenga chama chake,poleni magamba kwa kujichimbia kaburi.
 
hujanielewa tu mkuu. Nimesema jamaa ni mdini, mbaya zaidi hata kwenye siasa utamkuta kavaa pekos! Kama vp potezea!

Mungi,
yaani wewe unae kejeli dini za wenzako ndio unajiona msafi humu JF na kuwaita wenzako wa dini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom