Mnong'oneze LEMA mwambie ARUSHA NI MALI YAKE.
Tatizo ni kwamba mmesahau kuwa hata 2005 na 2010 mikutano ya chadema ilikuwa inaongoza kuwa na watu wengi. Labda wanakuja kusikiliza mapya!!!? Kaaz kwel kwel
nyie chadema si mnawatukana sana waislamu! kuna kamanda yoyote wa chadema asiewatukana waislamu? hebu angalia comment za makamanda hapa jf wanavyowatukana waislamu. bukoba ni ya waislamu sasa sijui mmeenda kufanya nini..mnautia najisi mji wetu
Olekere kulya ebiroke byakumara amagezi kaziro
Bukoba haijawahi kuwa ya waislamu na haitakuwa ya waislamu, Bukoba haijawai kuwa ya wakiristo na haitakuwa ya wakiristo, Bukoba ni ya wahaya wote, Bukoba ni ya watanzania wote. Huu udini wenu pelekeni huko huko mlipozoea. Msituletee ubaguzi husio kuwa na kichwa la miguu. Wahaya tunajulikana Tanzania mzima kwa mshikamano wetu kamwe hizi fitina za udini haziwezi kututenganisha..'Bagambila bali insi bali iguru kuulila'
Wakuu,
Nadhani tokea hii Operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa CHADEMA kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa Bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.
Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa Leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema aliposema kwamba "Kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba Kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".
View attachment 134859umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikituaView attachment 134860
Meza kuu Kamanda Lema akibadilishana mawazo na Mohamedi Mtoi
View attachment 134861View attachment 134862View attachment 134863View attachment 134864
Picha zote kwa hisani ya Mtu wa Tanganyika .......... peopleeeeezzzzzzz!!!!!
Issue moja ya wazi ni kwamba Bukoba na Kagera kwa ujumla Waislamu ni jamii minority! Waislamu wamekua wanachaguliwa kwa sifa zao;si kwa dini yao! Mpaka hivi karibuni wanaharakati wa Kiislamu walipo haribu mahusiano mazuri baina ya dini hizi mbili.
Kwa hiyo bila unafiki chaguzi zetu zijazo zitaangalia sifa nyingine,dini ya mgombea! Mkawalaumu walio anzisha kampeni ya kuwatusi Wakristo na Imani yao!
bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu
Kipimo kizuri cha ubashiri wa kukubalika na watu hakiwezi Kuwa hiki. Walio wengi hapo ni wakuja kuitaza chopa live na SI vinginevyo.
Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?
Hivi mdau ni wewe uliye meza kuu hapo juu? Uwa napenda article zako kumbe nawe ni M4C? Well basi chadema ina vichwa vizuri kama ni wewe!!
mambo hapa ni safii.?