Mh. Kagasheki alisema yeye atakuwepo mpaka bunge lianze, bilashaka aliudhuria hapo. Ninaamini hadi keshokutwa tutakuwa tumeshamsikia majibu yake.
Nawakaribisha vijana wa Lumumba aka book 7 boys, wapi Riz Simiyu yenu na mapumbafu mengine changieni huu uzi mmejificha wapiiiii?
wewe unafikiri kwanini wamemtumia mohamed saidi bukoba na sio maeneo mengine? hiyo inamaanisha nini?
mambo hapa ni safii.?