Wakuu,
Nadhani tokea hii Operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa CHADEMA kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa Bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.
Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa Leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema aliposema kwamba "Kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba Kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".
View attachment 134859umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikituaView attachment 134860
Meza kuu Kamanda Lema akibadilishana mawazo na Mohamedi Mtoi
View attachment 134861View attachment 134862View attachment 134863View attachment 134864
Picha zote kwa hisani ya Mtu wa Tanganyika .......... peopleeeeezzzzzzz!!!!!
Powerrrrrrrrr
Last edited by a moderator: