M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

  • Wakati chadema wanatumia bilioni 1.5 kurusha CHOPA TATU kwa muda wao wote wa operations Zitto Z Kabwe..... Mgombea wao wa UDIWANI kata ya SOMBETINI Arusha ndg Ally Bananga anahaha kuomba omba misaada ili aendeshe kampeni ........ Ameweka namba yke ili atumiwe michango ... 0754962926..... Shame on you Chadema ya Slaa na Mbowe .....
  • Dogo hana shida atashinda kwa kishindo CDM chama ya watu arifu na kwa hapa A town hatuhitaji kampeni coz hana mpinzani Wazee waendeleee kuruka nchi nzima wasisahau mahali yeyote! kama inauma kaka ongeza kiroba!
 
ASA NI WAKATI WA WATANZANIA HASA WAISLAM KUTAFAKARI MAHUSIANO KATI YA CHADEMA NA CDU- Christian Democract Union cha UJERUNMANI YANAFAIDA GANI KWAO...?

"Kwenye hili slaa hajafanya siasa ya kawaida. Kuweka imani na ishara ya Zitto kabwe kwenye sanduku na kuongezea msalaba juu,huku akifahamu kabisa kuwa Zitto Kabwe ni muislam thabiti. haimaanishi tu kwamba ni siasa, inamaanisha kuwa Zitto anadharirishwa yeye pamoja na uislamu wake. Dokta slaa ndiye aliyeyapokea maandamano haya....dokta slaa ni padri, msigwa ni mcgungaji. Sugu ni mkristo. Hakukuwa na muislam hata mmoja kwenye timu yao....wameamua kutufedhehesha kwa kutumia dini yao. Kwenye hili linalogusa imani za dini, hatutaachana salama hata kidogo..

Kwa Mara ya kwanza leo naomba niseme wazi Mimi sio mdini lakini sipo tayari na siwezi kuvumilia ninapoona dini yangu inadharirishwa makusudi, muumini mwenzangu Wa kiislam anadharirishwa makusudi.

my take:
akili finyu hutesa mwili

...""---source Habib Mmchange


Wewe ni adui nambari 1 wa amani ya watanzania anaye hubiri UDINI.unatia aibu na kutukasilisha sisi waislam.sisi TUMEAMUA KUIPENDA CHADEMA.kwa hiari yetu, kama umetumwa na ccm kawaambie umeferi.USHINDWE NA ULEGEE WEWE MDINI MKUBWA.
 

Attachments

  • 1390822470709.jpg
    1390822470709.jpg
    87.7 KB · Views: 61
Wana jamvi jana nimeshuhudia jinsi M4C DAIMA inavyo isambaratisha CCM, Lakini baadhi ya wana jf wanasema hizo picha za umati wa watu ni za ku edit, mimi nilikuwepo uwanja wa Mayunga jana.Kwa udhibitisho nawawekea picha za mjini bukoba kwa wanao ijua bukoba wataelewa.
 

Attachments

  • 1390830822852.jpg
    1390830822852.jpg
    60.9 KB · Views: 133
Umeweka picha ngapi za Bukoba, ili kupata ufanano na unachokisema!
 
chama hakina muislam hata mmoja makao makuu,,waislam amkeni hiki chama cha dini flan..tusidanganyike hata kidogo!
 
ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccmccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm,,,,lazima wajinyee mwaka huu
 

  • Wakati chadema wanatumia bilioni 1.5 kurusha CHOPA TATU kwa muda wao wote wa operations Zitto Z Kabwe.....
    Mgombea wao wa UDIWANI kata ya SOMBETINI Arusha ndg Ally Bananga anahaha kuomba omba misaada ili aendeshe kampeni ........

    Ameweka namba yke ili atumiwe michango ... 0754962926.....

    Shame on you Chadema ya Slaa na Mbowe .....


  • msukule wewe hamtapa hata robo ya kura,nasikia ccm hamjazindua kampeni bado
 
Back
Top Bottom