'Bila Zitto chadema hakuna watu mikutanoni!'
ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha.....
kusoma hujui,hata picha zinakushinda????? hii ni zaidi ya div 9!
'Bila Zitto chadema hakuna watu mikutanoni!'
Wakati chadema wanatumia bilioni 1.5 kurusha CHOPA TATU kwa muda wao wote wa operations Zitto Z Kabwe.....
Mgombea wao wa UDIWANI kata ya SOMBETINI Arusha ndg Ally Bananga anahaha kuomba omba misaada ili aendeshe kampeni ........
Ameweka namba yke ili atumiwe michango ... 0754962926.....
Shame on you Chadema ya Slaa na Mbowe .....
mambo hapa ni safii.?
Mohamedi Mtoi mkuu kuna mtu nimewasiliana nae ananiambia Issa Jussa amewafunika sana, leo bukoba alibeba msahafu akazing'oa mbegu za udini zilizokuwa zimepandwa kwa wanabukoba kwa kutumia hadithi na aya.
Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Simiyu Yetu na gambas nyingine na B7 company limited mpo
ASA NI WAKATI WA WATANZANIA HASA WAISLAM KUTAFAKARI MAHUSIANO KATI YA CHADEMA NA CDU- Christian Democract Union cha UJERUNMANI YANAFAIDA GANI KWAO...?
"Kwenye hili slaa hajafanya siasa ya kawaida. Kuweka imani na ishara ya Zitto kabwe kwenye sanduku na kuongezea msalaba juu,huku akifahamu kabisa kuwa Zitto Kabwe ni muislam thabiti. haimaanishi tu kwamba ni siasa, inamaanisha kuwa Zitto anadharirishwa yeye pamoja na uislamu wake. Dokta slaa ndiye aliyeyapokea maandamano haya....dokta slaa ni padri, msigwa ni mcgungaji. Sugu ni mkristo. Hakukuwa na muislam hata mmoja kwenye timu yao....wameamua kutufedhehesha kwa kutumia dini yao.
Kwa Mara ya kwanza leo naomba niseme wazi Mimi sio mdini lakini sipo tayari na siwezi kuvumilia ninapoona dini yangu inadharirishwa makusudi, muumini mwenzangu Wa kiislam anadharirishwa makusudi.
...""---source Habib Mmchange[U
NIMEKUPUUZA KWA UDINI WAKO KIJANA WANGU
,MIMI MWENYEWE NI MUISLAM LAKINI HIYO HAKI YA MSAITI ZIT.TO.