M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

SADC ipo mkuu na maamuzi ya kuilinda CONGO ambayo ni mwanachama wa SADC yamefikiwa kwa makubaliano ya pamoja ila JWTZ ndio wamepewa jukumu la frontline

Unawajua ANGOLA mkuu??, unawasikia South Africa??, Vipi kuhusu Zimbwabwe na Namibia??, wakiungana na JWTZ wazee wa kichapo cha kimya kimya na morali ya vita unafikiri itakuaje??

Hao uliowataja hawawezi kuthubtu kuingilia huo mziki

Namibia, Zimbabwe, Angola, Msumbiji, S.Afrika, Botwsana na nchi nyingi za Afrika kusini mwa afrika na pamoja na Afrika ya kati huwa wanachukua mafunzo yao ya kijeshi Tanzania. Sifa kuu ya JWTZ ni kupiga kimya kimya. Angola, Zimbabwe na Namibia kwa majeshi ya ardhini ni wazuri sana.
 
30/10/2013

955219_orig.jpg
"Bisii" The Bisiimwa's vehicles enter Uganda. (photo: Goodluck Musinguzi/NewVision Uganda)

Just head this news on BBC World News Radio, and now cross-posting the following report written by Goodluck Musinguzi, published at NewVision, UGANDA that, the rebel leader crossed Uganda in a convoy of two vehicles as UN forces and Congolese forces led by South Africans reached within five kilometres towards his political base.

A Uganda security officer confirmed the development and said Bisiimwa was being questioned by the security operatives at

Bunagana at Uganda-Congo border.

Rebels on Monday abandoned a key military base but vowed to fight on despite four days of a successful army offensive that has stoked tensions with neighbouring Rwanda.

A string of victories by government forces backed by a new U.N. intervention brigade has boosted belief that Congo's army could finally quell a 20-month insurgency which has displaced tens of thousands of people in the mineral-rich area.

The March 23 Movement (French: Mouvement du 23-Mars), often abbreviated as M23 and also known as the Congolese Revolutionary Army, is a rebel military group based in eastern areas of the Democratic Republic of the Congo (DRC), mainly operating in the province of North Kivu.

Source: Breaking News! M23 leader Bertrand Bisiimwa has surrendered to Ugandan security - wavuti.com
Mungu ibariki Tazania, Mungu Ibariki JWTZ.
 
JWTZ ni nzito mkuu na wachina na wamarekani wanapigana vikumbo sana kuja kufanya mafunzo ya pamoja kila siku

Hapana chezeya watoto wa Mwamunyange aiseee

Mimi huwa navukaga kila siku hapa Kivuko cha Magogoni yaani Ferry, ule upande wa Bandari huwa kuna boti za majeshi ya nje zinakuja sana kwa ajili mafunzo, mara nyingi ni kwa kufunzana ila kwa kipindi hiki wametulia na wametulia kutokana na sababu flani hivi ambayo ni ngumu kuiandika hapa.
 
Kweli mkuu. Ndio maana huwa hatubabaishwi na hawa wenye vikao vya kitchen party kila siku. Ndugu zetu wa damu ni SADC
Namibia, Zimbabwe, Angola, Msumbiji, S.Afrika, Botwsana na nchi nyingi za Afrika kusini mwa afrika na pamoja na Afrika ya kati huwa wanachukua mafunzo yao ya kijeshi Tanzania. Sifa kuu ya JWTZ ni kupiga kimya kimya. Angola, Zimbabwe na Namibia kwa majeshi ya ardhini ni wazuri sana.
 
Why has he gone to Uganda????? Is Uganda supporting him? Is he not afraid that he will be taken into custody??? Why why why????
30/10/2013

955219_orig.jpg
"Bisii" The Bisiimwa's vehicles enter Uganda. (photo: Goodluck Musinguzi/NewVision Uganda)

Just head this news on BBC World News Radio, and now cross-posting the following report written by Goodluck Musinguzi, published at NewVision, UGANDA that, the rebel leader crossed Uganda in a convoy of two vehicles as UN forces and Congolese forces led by South Africans reached within five kilometres towards his political base.

A Uganda security officer confirmed the development and said Bisiimwa was being questioned by the security operatives at

Bunagana at Uganda-Congo border.

Rebels on Monday abandoned a key military base but vowed to fight on despite four days of a successful army offensive that has stoked tensions with neighbouring Rwanda.

A string of victories by government forces backed by a new U.N. intervention brigade has boosted belief that Congo's army could finally quell a 20-month insurgency which has displaced tens of thousands of people in the mineral-rich area.

The March 23 Movement (French: Mouvement du 23-Mars), often abbreviated as M23 and also known as the Congolese Revolutionary Army, is a rebel military group based in eastern areas of the Democratic Republic of the Congo (DRC), mainly operating in the province of North Kivu.

Source: Breaking News! M23 leader Bertrand Bisiimwa has surrendered to Ugandan security - wavuti.com
 
Wewe mbona hueleweki....unapowasaidia jirani zako na maadui unakuwa unajiweka salama hawa washenzi M23 unafikiri wakishika hizo sehemu za Congo wewe utakuwa salama?
 
Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.

Uelewa wako ni mdogo sana
 
Kama Bunagana ishachukuliwa na iyo ndio kambi yao ya mwisho iliyokua imebaki mikononi mwa M23....For morale boost kabila inabidi afanye bonge la victory parade pale goma!!!
 
Nilisema mungu ni mwema damu ya komandoo wetu mlima haiwezi kupotea bure

komando gani na wewe ..hebu tupishe hapa unatutia kichefuchefu tu ..makomando unawajua wewe?makomamndo wako afghanistan wanapigana na taliban
 
Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.

1. tunanufaika na amani nchi jirani itakayofanya tusiwe na wahamiaji haramu ambao in-turn watatuletea hasara nchini kwetu.
2. Amani nchi jirani ya congo ni muhimu kwa kuwa congo ni soko letu kiuchumi
3. Si mara zote unapofanya jambo ni lazima liwe na faida za kifedha. Kumsaidia mnyonge ni jambo la kibinadamu, jambo la kiutu. Hivi wewe kama una mwili jumba halafu kuna demu anabakwa karibu yako na visela viwili vitatu hutasaidia kwa kudai kuwa huyo demu hajachangia gharama zako za gym? Tanzania kuwasaidia wacongo iko hivyo.
 
itakuwa hivi mkuu.rwanda itapigwa mtungo from behind via jwtz waliopo goma na jwtz walipo kagera.uganda itapigwa via bukoba.kenya itakuwa raisi kidogo cos vitafungwa vitu vizito na vyenye ncha kali at the top of mount kilimanjaro na kuvielekeza nairobi.the rest is history.acha wewee nyerere aliona mbali kuuchukua ule mlima.that old man was a real visionary and genious.FYI tz ndo israel ya ukanda huu wa east africa.

Watu wengine mnashabikia vita sijui kwanini.
 
Napendekeza waende mpaka Nairobi wakawafurushe Alshabab.

Hapana mkuu wangu, hilo Mungu aliepushe kabisa. Sisi wazuri vita za msituni tu za mtu kwa mtu lakini hizi za hawa jamaa za kujifunga mabomu na kujichanganya mitaani watatumaliza aisee! Si umeona yale ya CDM na kanisa la olesiti mpaka leo serikali inang'aa sharubu tu.
 
Acha woga wewee mwanamume huwa haogopi VUTA huwezi ona jirani zaidi ya miaka 53 anaonewa na majirani zake na leo tumewagundua maadui zetu kuwa ni Rwanda na Uganda hawatufai
Bunge leo linataka tujitenge na Jumuiya hiyo, kwani maamuzi hayo sisi hatuyatambui
Wewe na hao Ndugu waliopoteza wapendwa wao ulitaka waachwe peke yao tusiwasaidie?
Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta amesema UONGO wa kitoto wa hao jamaa zako ni kujitenga tu, bora kujiunga na DRC na Burundi tutashirikiana.
Funguka jamaa yangu au hamia Rwanda
Maswali yako uliza hapa acha woga https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...gano-kati-ya-m23-na-fardc-20.html#post7687841

hayahaya jirani yake navamiwa na majambazi hatakutoa msaada wa kupiga sim polisi au kamajirani wengine haliwezi,dume zima unalikuta limejificha chini ya uvnngu,watu eanadhani kwammba sisi hatuathiriki na vita ya CONGO,tunaathiriwa sana tu,fikiria hayo majambazi huko KG na kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika yanatoka wapi kama sio hawa waasi,kingine kuwa hifadhi wakimbizi nigharama kubwa sana kwetu,M23 lazima waiache Congo ijiendeshe sasa
 
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....

Wakifanya hivyo mkuu watakuwa hawana akili timamu, maana nchi zote za SADC itabidi zimwage troops za kutosha CONGO DR na UN itawawekea vikwazo vikali vya kiuchumi, Hivyo hiyo ni ndoto ya alinacha. Hawawezi kujiingiza vita hivi moja kwa moja mkuu.
 
Back
Top Bottom