REAL INTELLECTUAL
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 115
- 15
Kwanin Uganda wamempokea kiongozi wa waasi?
Mamilioni ya wacongo waliopoteza wake na watoto na wapendwa wao hakika wataunga mkono! na hawatasahau jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyopoteza maisha yao kuwatetea.
hONGERA SANA jwtz. ndio maana nikiangalia CCTV Africa kutoka hapa marekani kila mara naona jina la kinyakyusa kanali mwakibolwa mara Hatibu bakari mara Komba, nilkuwa najiuliza hawa wakina komba walifika lini Congo? MUngu Ibariki TZ maana huko ndiko kusaidia mtu aliye uchi ukamvisha nguo. Congo wamesumbuliwa sana na na M-23, Uganda na Rwanda. Amani na Ije wacongo wazidi kututumbuiza ktk muziki, soka na basket ball.Nimekuwa karibu sana kijana wangu aliekuwepo DRC na ukweli ni ushindi huu ni wa JWTZ kwa 90%. JWTZ ndilo lilianzisha mapigano na hawa M23. Wana_Jf Pale ambapo unasikia Jeshi la Congo limepigana na waasi kasi utambue kuwa ndani Battalion ya JWTZ iliyoenda kule DRC walichukuliwa wale Askari wa Tanzania wenye uwezo wa hali ya juu ili kwenda kupigana huko, Sio wote wanaokwenda kupigana ila JWTZ limetoa askari kadhaa ili wakawasaidie Congo. Askari walivenjwa mpaka kombati za DRC ili wakafanye hiyo kazi. Na hiyo kazi imefanywa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kagame na Museveni hata M23 wenyewe wanalijua hili. Jeshi la Congo halina uwezo wa kupambana na M23.
Nasema JWTZ ni noma pande hii ya Afrika Mashariki.Nimekuwa karibu sana kijana wangu aliekuwepo DRC na ukweli ni ushindi huu ni wa JWTZ kwa 90%. JWTZ ndilo lilianzisha mapigano na hawa M23. Wana_Jf Pale ambapo unasikia Jeshi la Congo limepigana na waasi kasi utambue kuwa ndani Battalion ya JWTZ iliyoenda kule DRC walichukuliwa wale Askari wa Tanzania wenye uwezo wa hali ya juu ili kwenda kupigana huko, Sio wote wanaokwenda kupigana ila JWTZ limetoa askari kadhaa ili wakawasaidie Congo. Askari walivenjwa mpaka kombati za DRC ili wakafanye hiyo kazi. Na hiyo kazi imefanywa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kagame na Museveni hata M23 wenyewe wanalijua hili. Jeshi la Congo halina uwezo wa kupambana na M23.
By JOSEPH KAY and SALEH MWANAMILONGO 52 minutes
baada ya kuungwa mkono na hao raia wa drc wewe kama mtanzania utakuwa umenufaika na nini? Wakati nchi imepoteza askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao wa drc hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu watanzania.