M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Huu ni ushahidi tosha kua uganda na rwanda wanahusika... wanavyoenda kujisalimisha uganda kwani uko ndio nchini kwao? si ajisalimishe kwa serikali ya congo ambapo ndio nchini kwako!!! haya si maajabu jamani!!!
Cant you even think of the name, Bisiimwa, purely Ugandan.
 
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....
 
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....

waache waje wakione cha moto. n kwa taarifa yako tayari wapo na wamekimbia vile vile hawa mabwana zako. Sijui mijitu mingine kama wewe mkoje Ovyoo (Msonyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo)
 
Nimekuwa karibu sana kijana wangu aliekuwepo DRC na ukweli ni ushindi huu ni wa JWTZ kwa 90%. JWTZ ndilo lilianzisha mapigano na hawa M23. Wana_Jf Pale ambapo unasikia Jeshi la Congo limepigana na waasi kasi utambue kuwa ndani Battalion ya JWTZ iliyoenda kule DRC walichukuliwa wale Askari wa Tanzania wenye uwezo wa hali ya juu ili kwenda kupigana huko, Sio wote wanaokwenda kupigana ila JWTZ limetoa askari kadhaa ili wakawasaidie Congo. Askari walivenjwa mpaka kombati za DRC ili wakafanye hiyo kazi. Na hiyo kazi imefanywa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Kagame na Museveni hata M23 wenyewe wanalijua hili. Jeshi la Congo halina uwezo wa kupambana na M23.
Mkuu habari za jikoni zinadai Kagame anachimba mahandaki usiku na mchana anajua wale vijana wa JWTZ wanaweza kumnaniliu muda wowote na mbaya zaidi yuko kwenye risk kubwa kwa kuwa ndani ana wapinzani wengi sana hasa wahutu

Bravo sana JWTZ
 
Mungu atubariki,wa2 wa maziwa makuu tuwe na amani.Na kila m2 aheshimu mwenzake,tusimwonee mnyonge big up JWTZ,SA na MALAWI.
 
mimi naamini Mtu mweusi aliumbwa katika nchi ya kongo! maana pale pana asili zote za kipaji cha mtu mweusi. Ngoma(muziki) Soka,na intertainment zote!!!!!! Tanzania pale imemgomboa mtu mweusi dhidi watumwa wa mali
Usisahau pia sayansi ya asili ya mwafrika inapatikana sana CONGO..

Oh CONGO wake up, the sleeping giant
 
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....

itakuwa hivi mkuu.rwanda itapigwa mtungo from behind via jwtz waliopo goma na jwtz walipo kagera.uganda itapigwa via bukoba.kenya itakuwa raisi kidogo cos vitafungwa vitu vizito na vyenye ncha kali at the top of mount kilimanjaro na kuvielekeza nairobi.the rest is history.acha wewee nyerere aliona mbali kuuchukua ule mlima.that old man was a real visionary and genious.FYI tz ndo israel ya ukanda huu wa east africa.
 
Je iwapo Uganda wakiingia huko na jeshi itakuwaje?!! Na Rwanda na Kenya wakiingilia hiyo vita kuwa upande wa M23, what is next?!! Ngoja tusubiri aiseee.....
SADC ipo mkuu na maamuzi ya kuilinda CONGO ambayo ni mwanachama wa SADC yamefikiwa kwa makubaliano ya pamoja ila JWTZ ndio wamepewa jukumu la frontline

Unawajua ANGOLA mkuu??, unawasikia South Africa??, Vipi kuhusu Zimbwabwe na Namibia??, wakiungana na JWTZ wazee wa kichapo cha kimya kimya na morali ya vita unafikiri itakuaje??

Hao uliowataja hawawezi kuthubtu kuingilia huo mziki
 
Tuangalie mbele, suala si kupiga pu m buna kuzaa, suala ni kulea mpaka mtoto akue mkubwa, UN wana miaka 50 ya Kukita hapo DRC mpaka ukoo wa kitutsi uelewe Dunia inazunguka kutoka wapi kuelekea wapi
 
Nilidhani ubabe wa waTZ kivita ulikuwa mikononi mwa kina Mayunga, Musuguri, Twalipo & Co. JWTZ kumbe vijana wanatisha. Hongera JWTZ. futa hicho kikundi cha m23.
JWTZ ni nzito mkuu na wachina na wamarekani wanapigana vikumbo sana kuja kufanya mafunzo ya pamoja kila siku

Hapana chezeya watoto wa Mwamunyange aiseee
 
itakuwa hivi mkuu.rwanda itapigwa mtungo from behind via jwtz waliopo goma na jwtz walipo kagera.uganda itapigwa via bukoba.kenya itakuwa raisi kidogo cos vitafungwa vitu vizito na vyenye ncha kali at the top of mount kilimanjaro na kuvielekeza nairobi.the rest is history.acha wewee nyerere aliona mbali kuuchukua ule mlima.that old man was a real visionary and genious.FYI tz ndo israel ya ukanda huu wa east africa.

Linapokuja suala lenye maslai ya Taifa kuna comments huwa zinanikosha.
 
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?

Hao wake na watoto unaosema wameuwawa na M23 ndiyo maana tumeenda kuwasaidia! Binafsi tunanufaika na Amani ya waafrica wenzetu ambao wanafanyiwa Unyama na Wanyarwanda!
 
Kwanin Uganda wamempokea kiongozi wa waasi?

Vita vya Congo ni biashara ya Museveni na Kagame, wananufaika na uporaji wa rasilimali za Congo mashariki. Ndio sababu wanaichukia sana nchi yetu kupeleka majeshi Congo
 
Is there a need for negotiations with great enemy of drc m23?after win them
 
Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.

Nyerere alisema kila mtanzania msomi aseme nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu kwa faida ya wote.Vingapi unafaidi ambavyo hujachangia? Waweza kuwa na mke au mume ambaye hukuchangia kumlea hadi unaoa au unaolewa.

Alielimishwa asaidie wanadamu wanaoteseka wawe Tanzania au popote wawe wanalipa kodi au hawalipi.
 
hONGERA SANA jwtz. ndio maana nikiangalia CCTV Africa kutoka hapa marekani kila mara naona jina la kinyakyusa kanali mwakibolwa mara Hatibu bakari mara Komba, nilkuwa najiuliza hawa wakina komba walifika lini Congo? MUngu Ibariki TZ maana huko ndiko kusaidia mtu aliye uchi ukamvisha nguo. Congo wamesumbuliwa sana na na M-23, Uganda na Rwanda. Amani na Ije wacongo wazidi kututumbuiza ktk muziki, soka na basket ball.

Ile Battalion iliyopo DRC ndio tegemeo la wakongo. Na vijana wameweza kuwapa kile wanachotaka wakongo.
 
Mkuu habari za jikoni zinadai Kagame anachimba mahandaki usiku na mchana anajua wale vijana wa JWTZ wanaweza kumnaniliu muda wowote na mbaya zaidi yuko kwenye risk kubwa kwa kuwa ndani ana wapinzani wengi sana hasa wahutu

Bravo sana JWTZ

Na kuna uwezekano wa FDRL wakapewa mafunzo ili warudi kuipindua Serikali ya Kagame.
 
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?
at least damu yake haikuenda bure...hawakumlet down! May he R.I.P?
 
Back
Top Bottom