M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

washenzi sana hawa jamaa na huyu mseveni mwisho wake upo karibu anafanya mazungumzo ya unafiki na serikali ya congo na waasi kumbe yeye ndo ana husika kuwa support,
Mseveni na mwenzake huyu kagame hakika mwisho wao upo na siku zao zina hesabika kwa sababu wamepoteza maisha ya watu sana wasio na hatia kabisa.
 
Kiongozi wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa amekimbilia Uganda, maofisa wa serikali ya Uganda wamethibitisha hilo. Hawa M23 hawatausahau mziki mzito wa JWTZ chini ya majeshi ya UN. Hongereni JWTZ na washirika wenu kwa kuleta mwanga kwa Wakongo.
 
Kiongozi wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa amekimbilia Uganda, maofisa wa serikali ya Uganda wamethibitisha hilo. Hawa M23 hawatausahau mziki mzito wa JWTZ chini ya majeshi ya UN. Hongereni JWTZ na washirika wenu kwa kuleta mwanga kwa Wakongo.​

By default,
Kila makamanda wa Waasi wanapopata mkong'oto kule DRC, mostly likely watakimbilia Rwanda au Uganda huku marais hawa wakiendelea kukanusha kwamba hawahusiki na mgogoro wa DRC! What a coincidence
 
Aisee jwtz kiboko mbaya, juzi Kati nimesikia renamo wameanza tena ujinga wao msumbiji, nikakumbuka kikosi chetu kilichopelekwa huko miaka hiyo kilivyowasambaratisha. Mnajua Kwa kupeleka majEshi Congo ni km tumetupa jiwe gizani, oneni sasa hawa wenzetu, Uganda na rwanda wamepiga kelele na wanajidai kututenga EA commu
nity. JW noma
 
Napendekeza waende mpaka Nairobi wakawafurushe Alshabab.
 
Kiongozi wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa amekimbilia Uganda, maofisa wa serikali ya Uganda wamethibitisha hilo. Hawa M23 hawatausahau mziki mzito wa JWTZ chini ya majeshi ya UN. Hongereni JWTZ na washirika wenu kwa kuleta mwanga kwa Wakongo.

Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?
 
The facilitator of the talks, the Ugandan minister for defense Dr. Crispus Kiyonga sent a chopper to pick Bisiimwa from the Ugandan border at Bunagana border contrary to reports the rebel leader had surrendered to Ugandan security, army Spokesperson Paddy Akunda said.
Regional leaders last month directed that peace negotiations between the M23 rebels and the Government of Congo should resume as a way of ending fighting in eastern DR Congo.

KATUMIWA NDEGE; NAOMBA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MR MEMBE ALAANI VIKALI KITENDO HICHO
 
kwanini asifuatwe huko huko na kukamatwa au sheria zinasemaje wajuzi wa mambo haya tusaidieni katika hili huyo jamaa anatakiwa asagwe ata majivu yake yasionekane. RIP KAMANDA MLIMA.
 
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?

Acha woga wewee mwanamume huwa haogopi VUTA huwezi ona jirani zaidi ya miaka 53 anaonewa na majirani zake na leo tumewagundua maadui zetu kuwa ni Rwanda na Uganda hawatufai
Bunge leo linataka tujitenge na Jumuiya hiyo, kwani maamuzi hayo sisi hatuyatambui
Wewe na hao Ndugu waliopoteza wapendwa wao ulitaka waachwe peke yao tusiwasaidie?
Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta amesema UONGO wa kitoto wa hao jamaa zako ni kujitenga tu, bora kujiunga na DRC na Burundi tutashirikiana.
Funguka jamaa yangu au hamia Rwanda
Maswali yako uliza hapa acha woga https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...gano-kati-ya-m23-na-fardc-20.html#post7687841
 
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?

Mamilioni ya wacongo waliopoteza wake na watoto na wapendwa wao hakika wataunga mkono! na hawatasahau jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyopoteza maisha yao kuwatetea.
 
halafu kuna ----- mmoja aliwahi kudai hapa eti askari wetu elfu ngapi sijui wameuwawa na M23, aibu yake!
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Mamilioni ya wacongo waliopoteza wake na watoto na wapendwa wao hakika wataunga mkono! na hawatasahau jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyopoteza maisha yao kuwatetea.
well said mkuu
 
Na ukiangalia jina lenyewe ni watu wa kule kule Magharibi mwa Uganda Bisiimwa (Wanyankole/Chigga/Nyoro/Toro)
Ni kweli mkuu.Nkunda alirudi kwa baba yake Kagame na Bisiimwa anarudi kwa Baba yake Mseveni. Asiyekuwa na baba Bosco Ntaganda alijikuta anapelekwa mkuku ICC uholanzi.

Hawa watakuwa wanajiishia maeneo ya starehe kigali na Kampala kwa baba zao.
 
Back
Top Bottom