M23 to disarm if FDLR would be disbanded first

maajabu kweli. tulitegemea kuona vita kati ya m23 na FDLR.

soma sana ili kujua ni kwanini.....kwa wanaojua historia na nini kinaendelea huko maeneo ya kivu hawatashangaa hayo madai na ndo maana yakatolewa waziwazi......m23 moja wapo ya majukum yaoni kulinda wacongoman wanyamurenge ambao wanauliwa na wa-FDLR....na ndiyo hao FDLR wanahusika na wakimbizi wacongo walioko Rwanda.....
 
wanyamulenge ni watusi ambao hawataki kujiita wanyarwanda ili waonekane ni wakongoman. hata makabila mengine asili wakongo hawapatani nao. hao ndio wachafuzi wa nchi. walianza kipindi cha RCD leo wako m23 wanabadilisha tu majina. hao m23 wanataka kuweka mazingira kwa wanyarwanda kuiba na kuoccupy eastern congo na si kingine.
 
hicho ndo umepata baada ya kusoma.....sishangai kama wadogo zako au hata wewe unafaulu kuingia form one huwezikuandika jina lako wala kusoma....nitashangaaje wewe kuibuka na hisia zako?
Nashangaa kama mtu hawezi kujiuliza japo swali dogo....kwanini serikali ya congo inakubali kufanya mazungumzo kama m23 ni wavamizi?hayo mazungumzo ni ya nini?m23 wananini kiasi cha kulazimisha nchi huru kuivamia na kuweka masharti yao? na dunia nzima ikiona?kichwa empty.....
sijui kwanini unaamua kujidhalilisha?kwa faida ya nani kuonekana hamnazo? we wajua yangu ni hayo
 
Nashukuru kwa kunielimisha kuhusu M23 na FDLR, lakini naomba kuuliza:

Kwa nini jeshi la UN lisiwashambulie na FDLR, kwanini M23 peke yao? Maana wote ni waasi.

Kwa upande mwingine naona hoja za M23 kuhusu wakimbizi wa nchi jirani tusiibeze sana japo naona haitekelezeki
Ahsante, kwanza kumbuka kuwa M23 si taifa ni kundi la watutsi wa Rwanda ambao ni raia wa Kongo. Kwahiyo hoja yako kuwa wasipuuzwe kuhusu wakimbizi wa nchi jiranihaipo kwasababu M23 si nchi ni kundi la waasi.

Lakini hoja yako ina mantiki kwa kujua kuwa M23 ni kundi la Rwanda kwahiyo unaweza kuwa na hoja tukizingatia kuwa Rwanda ndio wafadhili wakubwa wa M23 na bila kificho ni tawi la RPF likipokea maagizo kutoka Kigali.

Kundi hili limesababisha madhara kwa raia wa kongo na si FDLR tena likidai kupewa nchi ya itakayoitwa Kivu.
Kundi hili halina mgogoro na FDLR bali serikali ya DRC na dhana kuwa lipo kwa ajili ya kupambana na FDLR si kweli.
Ndio maana katika mzungumzo ya Kampala ni baina ya DRC na M23.

Kwahiyo tatizo la M23 ni kubwa zaidi ya FDLR kwa maana kuwa wao sasa ni sehemu ya mauji ya wananchi wa DRC bila sababu za msingi bali maagizo kutoka Kigali.

Kuwanyangànya silaha FDLR ni sehemu ya mpango wa UN lakini tatizo hilo si kubwa kama uwepo wa M23 ambao tayari wameshatangaza kuigawa nchi kwa vile tu ni watutsi na kwa bahati mbaya sana wakiungwa mkono na Kagame bila soni haya au aibu.

Huu si uhalifu wa M23 ni uhalifu wa nchi mbili dhidi ya nchi mmoja zikiongozwa na mheshimiwa sana Paul Kagam.
PK ana damu za watu milioni 3 wa DRC, sidhani kama anashtuka kwa hilo kwasababu ya makuzi yake.
 
hicho ndo umepata baada ya kusoma.....sishangai kama wadogo zako au hata wewe unafaulu kuingia form one huwezikuandika jina lako wala kusoma....nitashangaaje wewe kuibuka na hisia zako?
Nashangaa kama mtu hawezi kujiuliza japo swali dogo....kwanini serikali ya congo inakubali kufanya mazungumzo kama m23 ni wavamizi?hayo mazungumzo ni ya nini?m23 wananini kiasi cha kulazimisha nchi huru kuivamia na kuweka masharti yao? na dunia nzima ikiona?kichwa empty.....
sijui kwanini unaamua kujidhalilisha?kwa faida ya nani kuonekana hamnazo? we wajua yangu ni hayo
si ndo maana tumewafukuza. wakongo waliwaacha wakaota mizizi hadi imekuwa haiwezekani tena kuwafukuza. watu wote wa kivu na wakongoman wote wanajua jamaa sio wa kule sema imeshakuwa kuchelewa sana.
 
Sasa mkuu Nguruvi3, kwa nini ICC inawang'ang'ania wakina Kenyata inawaacha wakina Kagame?? Mimi nilidhani kagame ni mbaya kuliko Taylor, ni mbaya kuliko Bashiri. Akamatwe na apelekwe kujibu mashitaka ICC.
Ndiye aliyeanzisha mauaji ya kimbali, na ndiye anaye ondoa amani nchini Congo
Ahsante, kwanza kumbuka kuwa M23 si taifa ni kundi la watutsi wa Rwanda ambao ni raia wa Kongo. Kwahiyo hoja yako kuwa wasipuuzwe kuhusu wakimbizi wa nchi jiranihaipo kwasababu M23 si nchi ni kundi la waasi.

Lakini hoja yako ina mantiki kwa kujua kuwa M23 ni kundi la Rwanda kwahiyo unaweza kuwa na hoja tukizingatia kuwa Rwanda ndio wafadhili wakubwa wa M23 na bila kificho ni tawi la RPF likipokea maagizo kutoka Kigali.

Kundi hili limesababisha madhara kwa raia wa kongo na si FDLR tena likidai kupewa nchi ya itakayoitwa Kivu.
Kundi hili halina mgogoro na FDLR bali serikali ya DRC na dhana kuwa lipo kwa ajili ya kupambana na FDLR si kweli.
Ndio maana katika mzungumzo ya Kampala ni baina ya DRC na M23.

Kwahiyo tatizo la M23 ni kubwa zaidi ya FDLR kwa maana kuwa wao sasa ni sehemu ya mauji ya wananchi wa DRC bila sababu za msingi bali maagizo kutoka Kigali.

Kuwanyangànya silaha FDLR ni sehemu ya mpango wa UN lakini tatizo hilo si kubwa kama uwepo wa M23 ambao tayari wameshatangaza kuigawa nchi kwa vile tu ni watutsi na kwa bahati mbaya sana wakiungwa mkono na Kagame bila soni haya au aibu.

Huu si uhalifu wa M23 ni uhalifu wa nchi mbili dhidi ya nchi mmoja zikiongozwa na mheshimiwa sana Paul Kagam.
PK ana damu za watu milioni 3 wa DRC, sidhani kama anashtuka kwa hilo kwasababu ya makuzi yake.
 
Ruzibiza, Murutongore, Koba, Nguruvi na wengine. Ni bora tujadili kwa uwazi na kwa busara swala hili. Nina amini kuwa kama wewe ni mtanzania mmatumbi, mtanzania mndegereko au mtanzania mtusi, cha kwanza ni Mtanzania mengine baadaye.

Tunajua kuwa hapa Tanzania hakuna ujinga wa kuwabagua watu kutokana na kabila au mwonekano wao. Kinachotokea Kagera hakikusababishwa na watanzania, hata wanaoitwa watusi wanaoathirika ni kutokana na kauli za Kigali, lakini sio kutokana na tabia ya kuwabagua au kuwachukia.

Kama Tanzania ingekuwa na xenephobia sidhani kama kungekuwa na wageni ambao wanaishi bila vibali na watu wanajua na kukaa kimya, tena wengine wanawaficha ili polisi wasiwakamate.

Kauli za kuanza kuwaponda watutsi ni very untanzanian, hata kama wao wanatutukana na kutufananisha na Interahamwe who cares?? we are not even close to that. we never massacred Tutsis nor Hutus, and we hate none of them. Chuki kati yao, iwe ni Rwanda, DRC au Burundi, is not our business, security of our country and of the people who live in it, hata kama wao ni wahutu au watusi, is our top priority.
,
 
Sasa mkuu Nguruvi3, kwa nini ICC inawang'ang'ania wakina Kenyata inawaacha wakina Kagame?? Mimi nilidhani kagame ni mbaya kuliko Taylor, ni mbaya kuliko Bashiri. Akamatwe na apelekwe kujibu mashitaka ICC.
Ndiye aliyeanzisha mauaji ya kimbali, na ndiye anaye ondoa amani nchini Congo

Ndo maana wewe siyo mahakama,na kila mtu ni innocent till proved guilt na mweenye kufanya hivo ni mahakama...so mawzo na chuki zako si mahakama na huna akili ya kuwa judge au hata hakimu wa mahakama ya mwanzo.....
 
Sometimes we are being caught in a trap of putting innocent people in collective guilty. Kinachowakumba watu wanaorudishwa Rwanda ni kosa la Kagame, wao hawana kosa hata kidogo. Kutokana na sababu hiyo wamefikia hatua ya kuwa "guilty until proven innocent". Hili kwa kweli si jambo zuri, kwenye jukwaa hili inaonekana watu tunaanza kusukumwa na nationalism na kuweka pembeni common sense au hata kujaribu kupuuza sheria kwa kuangalia nationalism, hii ni hatari sana.

Tunatakiwa kuangalia mzizi wa tatizo uko wapi, na kuung'oa, na sio kuwakimbiza wazee wa miaka 70 ambao kimsingi si tatizo, wao ni nyika ztu a mapambano kati ya mafahari wawili.
 
MUKAMASIMBA, hii propaganda kwamba watutsi wanachukiwa na kwamba eti kuna ant tutsis si tu kwamba ni ya uwongo, bali pia ya kipuuzi na ya hatari sana. Propaganda hii inawafanya watutsi kuwa aggresive dhidi ya watu wengine wakiamini kuwa ni adui zao.
Kagame kwa mfano, kwa kujua dhahiri shahiri mchango wake mkubwa katika genocide ya 1994, amewafanya watutsi waamini kuwa wao ni vulnerable dhidi ya wahutu, wakati ukweli ni kinyume chake.
 
Sometimes we are being caught in a trap of putting innocent people in collective guilty. Kinachowakumba watu wanaorudishwa Rwanda ni kosa la Kagame, wao hawana kosa hata kidogo. Kutokana na sababu hiyo wamefikia hatua ya kuwa "guilty until proven innocent". Hili kwa kweli si jambo zuri, kwenye jukwaa hili inaonekana watu tunaanza kusukumwa na nationalism na kuweka pembeni common sense au hata kujaribu kupuuza sheria kwa kuangalia nationalism, hii ni hatari sana.

Tunatakiwa kuangalia mzizi wa tatizo uko wapi, na kuung'oa, na sio kuwakimbiza wazee wa miaka 70 ambao kimsingi si tatizo, wao ni nyika ztu a mapambano kati ya mafahari wawili.

Bongolander umesema vyema ....sina uhakika kama kulikuwa na maksudi kufanya hivo(fukuza fukuza) kabla ya hawa mafahari kununiana.....sikia hadi UNHCR wameanza kuituhumu TZ kwa kufukuza wakimbizi kutoka burundi....
 
Amakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
Mkuu Mukamasimba unajua sana kujieleza, ila wakati mwingine unatetea vitu vyenye utata mkubwa, mfano: Wahutu na Watutsi waliokuwa wana uhasama ni raia wa Rwanda - sasa hili la kusema Wahutu waliokimbia Rwanda kuja ukimbizi Congo ndio waliendeleza mauji ya Wanyamlenge wa Congo inakujaje hap?? Kwani Wahutu wana ugomvi gani na Wanyamlenge!!! Kuwa mkweli hapa - au Wanyamlenge waliwahi kujihunga na RPF wakati wa harakati za kumung'oa Habyalimana nini?? Oh, umenikumbusha kitu, hivi Kabare (Kabarebe) alizaliwa wapi, yaani katika ujana wake alikulia wapi i.e mwenyeji wa nchi gani?? Ukijibu swali langu la mwisho bila kuficha kitu ndio tutapata jibu kwa nini M23 wanakuja na madai mengine mapya kabisa ambayo hayana uhusiano wowote na ugomvi wao na Serikali ya DRC. Mukamasimba mimi sio mtume wala nabii lakini inavyo elekea M23 wamepewa ushauri wakutaka kuendeleza vurugu ndani ya DRC kwa kuleta madai ambayo Serikali ya DRC haiwezi kukubaliana nayo, jeshi la Rwanda lilikuwa linaingia na kutoka DRC zaidi ya miaka ishirishi likitafuta kuwa angamiza wanajeshi wa kihutu - Kabare aliwahi kutamka kwamba jeshi hilo la kihutu limepunguzwa makili kwa asili mia 95% na sio tishio tena kwa Rwanda, kumbuka aliyasema haya alipo kuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda, sasa ni Waziri - inakuwaje tena M23 wanatumbukiza madai ya a spent force ambalo si tishio tena kwa Serikali ya Kagame? Mh Kagame hasitake kuendeleza mgogoro ndani ya DRC kwa kuwatumia M23 na madai yao yasiyo na mantiki, dunia hawezi kuendelea kusikiliza adithi hizo hizo miaka nenda rudi huku watu wakiendelea kupoteza maisha/kuwa wakimbizi kila siku. Kila mtu anajua M23 ni wanajeshi walio revolt kutoka jeshi la DRC kwa visingizio mbali mbali, moja wapo ikiwa eti wanaonewa sijui wanyimwa haki kwa hiyo lazima wadai haki zao kwa kutumia mtutu wa bunduki! Kwani DRC ina makabila mangapi, hivi Wanyamlenge wana nini cha ziada mpaka wafikie hatua ya kujiona wao ni bora zaidi ya makabila mengine ya Kikongomani? Leo hii wanakuja na madai eti Watutsi wote duniani wakubaliwe kuhamia/kurudi mkoa wa KIVU hata wale ambao hawakuwahi kuwa raia wa Congo - hamjasema hivyo moja kwa moja lakini hiyo ndio long term plan yenu msifikiri Dunia/watu hawana akili, mkimaliza hapo phase two itakuwa mkoa wa Kagera bila shaka!!
 
Mkuu kuna mambo mengi sana yanachanganya, lakini watu wanapokaa kimya au wanapokiri kuwa hawajui haina maana kuwa ni wajinga.

Ukianza kuangalia kwa undani majira ya watu mmoja mmoja unaweza kuona kuwa kuna baadhi ya watu ni matatizo, na ukiangalia myenendo yao unaweza kuona au kuhisi kuwa wana ajenda fulani.

Kwa mfano, huyu jamaa anayeitwa Kabare-be, ni mtu kutoka Uganda aliyekwenda kigali na kumfikisha Laurent Kabila Kinshasa. Bizimana karahana ambaye kwa sasa majukumu yake yako nje, alikuwa waziri Uganda, akawa waziri Rwanda na akawa waziri DRC, angalia Paul Kagame alikuwa ofisa usalama Uganda na sasa Rais wa Rwanda

Ukianza kuangalia hata Ntaganda yeye alisema kabisa kuwa ni myarwanda alikwenda DRC akiwa mdogo, Sultani Makenga alikuwa mpiganaji wa RPF na alikiri wazi kabisa kuwa alishiriki kumwondoa madarakani Hyabyarimana.

ukichambua majina haya unaona kuna maswali mengi sana.

Na sasa Betrand Bisimwa, a congolese leading M23 Movement, a movement which is supposed to be congelese.....all of a sudden he comes up with conditions that FDLR disarms first and tutsis should be allowed in DRC. Mkuu masharti haya sio tu yanatoa maswali, bali ni majibu ya M23 ni nini.

What does FDLR has to do with Congo, did they flee their country in fear of revenge massacre? or did they go to DRC to kill congolese people?

Ukianza kuangalia matatizo ya sasa yanayoisumbua DRC, chanzo kiko Kigali, and to be specific ni Kagame mwenyewe.
wanyemulenge na watutsi wameishi DRC bila shida, hata Uganda, Tanzania na kwingine wanaishi vizuri......"tatizo" la watutsi limeanza tangu Kagame aanze harakati zake. Kwa hiyo it is not fair kusema watutsi watutsi watutsi na kuacha tatizo lenyewe.
 
Ruzibiza, Murutongore, Koba, Nguruvi na wengine. Ni bora tujadili kwa uwazi na kwa busara swala hili. Nina amini kuwa kama wewe ni mtanzania mmatumbi, mtanzania mndegereko au mtanzania mtusi, cha kwanza ni Mtanzania mengine baadaye.

Tunajua kuwa hapa Tanzania hakuna ujinga wa kuwabagua watu kutokana na kabila au mwonekano wao. Kinachotokea Kagera hakikusababishwa na watanzania, hata wanaoitwa watusi wanaoathirika ni kutokana na kauli za Kigali, lakini sio kutokana na tabia ya kuwabagua au kuwachukia.

Kama Tanzania ingekuwa na xenephobia sidhani kama kungekuwa na wageni ambao wanaishi bila vibali na watu wanajua na kukaa kimya, tena wengine wanawaficha ili polisi wasiwakamate.

Kauli za kuanza kuwaponda watutsi ni very untanzanian, hata kama wao wanatutukana na kutufananisha na Interahamwe who cares?? we are not even close to that. we never massacred Tutsis nor Hutus, and we hate none of them. Chuki kati yao, iwe ni Rwanda, DRC au Burundi, is not our business, security of our country and of the people who live in it, hata kama wao ni wahutu au watusi, is our top priority.
,

Xenophobia

Xenophobia is the irrational or unreasoned fear of that which is perceived to be foreign or strange.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] It comes from the Greek words ξένος (xenos), meaning "stranger," "foreigner," and φόβος (phobos), meaning "fear."[SUP][3][/SUP]
Xenophobia can manifest itself in many ways involving the relations and perceptions of an ingroup towards an outgroup, including a fear of losing identity, suspicion of its activities, aggression, and desire to eliminate its presence to secure a presumed purity.[SUP][4][/SUP] Xenophobia can also be exhibited in the form of an "uncritical exaltation of another culture" in which a culture is ascribed "an unreal, stereotyped and exotic quality".[SUP][5][/SUP] Vienna Declaration and Programme of Action urges all governments to take immediate measures and to develop strong policies to prevent and combat all forms and manifestations of racism, xenophobia or related intolerance, where necessary by enactment of appropriate legislation including penal measure.[SUP][6][/SUP]
[h=2]Contents[/h]

[h=2]Definitions[/h] Dictionary definitions of xenophobia include: deep-rooted, irrational hatred towards foreigners (Oxford English Dictionary; OED), unreasonable fear or hatred of the unfamiliar (Webster's).[SUP][7][/SUP]
A xenophobic person has to genuinely think or believe at some level that the target is in fact a foreigner. This arguably separates xenophobia from ordinary prejudice. In various contexts, the terms "xenophobia" and "racism" seem to be used interchangeably, though they can have wholly different meanings (xenophobia can be based on various aspects, racism being based solely on ethnicity, and ancestry). Xenophobia can also be directed simply to anyone outside a culture. Basically, a completely biased opinion regarding foreign matters.[SUP][citation needed][/SUP]
Creating stereotypes is a way of organizing information. The problem comes when you start discriminating based on these stereotype in ways that counter accepted cultural values. Discriminating is the act where stereotyping is the thought process. When discriminating you start attributing good and bad evaluations of people based on that stereotype.[SUP][citation needed][/SUP]
[h=2]Two forms[/h] The first is a population group present within a society that is not considered part of that society.[SUP][citation needed][/SUP] Often they are recent immigrants, but xenophobia may be directed against a group which has been present for centuries, or became part of this society through conquest and territorial expansion. This form of xenophobia can elicit or facilitate hostile and violent reactions, such as mass expulsion of immigrants, pogroms or in other cases, genocide.[SUP][citation needed][/SUP]
The second form of xenophobia is primarily cultural, and the objects of the phobia are cultural elements which are considered alien. All cultures are subject to external influences, but cultural xenophobia is often narrowly directed, for instance, at foreign loan words in a national language. It rarely leads to aggression against individual persons, but can result in political campaigns for cultural or linguistic purification. In addition, entirely xenophobic societies tend not to be open to interactions from anything "outside" themselves, resulting in isolationism that can further increase xenophobia.[SUP][citation needed][/SUP]
[h=2]Ways of acquiring[/h] the following are ways one would develop a general and more often a specific type of Xenophobia:[SUP][original research?][/SUP]

  • Bad emotional experience with other groups or specific alien populist group.
  • Rational, or, analytical reasons for the revulsion.
  • Classical conditioning, that is when someone is conditioned to having a fear or repulse from aliens generally, or, from specific group. ways to instill it would be Dehumanization, mostly
by propaganda, for example: a video containing group members shown distorted, erroneous, and in proportional phases of horror sounding.

  • Imitating others, mainly these that are close to the individual, or, in many cases, societal norms of a nation.
 
Sometimes we are being caught in a trap of putting innocent people in collective guilty. Kinachowakumba watu wanaorudishwa Rwanda ni kosa la Kagame, wao hawana kosa hata kidogo. Kutokana na sababu hiyo wamefikia hatua ya kuwa "guilty until proven innocent". Hili kwa kweli si jambo zuri, kwenye jukwaa hili inaonekana watu tunaanza kusukumwa na nationalism na kuweka pembeni common sense au hata kujaribu kupuuza sheria kwa kuangalia nationalism, hii ni hatari sana.

Tunatakiwa kuangalia mzizi wa tatizo uko wapi, na kuung'oa, na sio kuwakimbiza wazee wa miaka 70 ambao kimsingi si tatizo, wao ni nyika ztu a mapambano kati ya mafahari wawili.

Unajua hapo mkuu ndipo mimi na wewe tunatofautiana. A country is ruled by rule of law. Haiwezekani kwa sababu ya spat kati ya kagame na Kikwete basi raisi wenu kakasirika akaenda mkoa wa kagera akasema fukuzeni hawa watu nanyi immediately without following the rule of law mnaanza kuwatimua watu. Wengine wana miaka zaidi ya 60 hapo. na mnawafukuza si kwa kufanya uchunguzi bali kwa kuangalia sura zao. Wahamiaji haramu wanakuja in all shapes and forms sio wale warefu wenye pua ndefu. Juzi Raisi putin amewatukana viongozi wa marekani kwenye new york times. Lakini sijasikia akina obama wakisema wafukuzeni warusi wote ambao wako marekani kinyume na sheria. Na wako wengi sana huko new york, mpaka wana mafia groups. So, ni hatari kwa serikali na wananchi kuitikia wito wa raisi blindly bila kufuata sheria. It happened in rwanda and we lost more than a million people. Pale wananchi walipoitikia wito wa serikali kuwaua watutsi wote. Nina ndugu zangu huko tanzania mmoja kaniambia jinsi alivyokuwa ofisini ghafla watu saba kutoka immigration,polisi,wanajeshi wakamfuata moja kwa moja mezani kwake utadhani wanaenda kumkamata jambazi sugu au siju osama. Seven people? Mtu mmoja ambae yuko pale kila siku! all those resources just to harrass one person. Halafu cha kushangaza anajulikana ofisini kuwa ni raia wa kujiandikisha. Please, you are wasting your resources wakati you could be catching hao wauza unga wanaopita kwenye airport zenu kila siku na ambao ndio wanaathiri maisha ya watoto wenu
 
Mkuu wewe hutaki kuwa ralistic. Kwa kawaida Tanzania huwa haiwafukuzi wageni, kuna watu wengi sana tunawafahamu kuwa si watanzania, lakini tunaishi nao, hata wale ambao sura zao zinaonesha kuwa si watanzania. Lakini kwenye hali ambayo tuna security threat sheria huwa haingaliwi.

You have to remember that it is rule of law when all goes well, and when things do not go as they should we do have "law of a ruler" kama mnayofuata Kigali wakati wa emergencies.

I do not agree with the way the government implemented and dealt with security threat. Hasa kwa kuwafukuza wahamiaji haramu waliokuja kutafuta maisha na kuoa dada zetu, na hata wale tulioawaoa na kuzaa nao.

But i will also be the last to condemn the president and my government for doing that. Weakness tuliyonayo ni kuwa tumezidi kuwa wakarimu, kama tukiendelea tunaweza kujikuta kwenye mazingira kama ya east DRC, ikazaliwa proxy ya Kagame mkoani Kagera. So in general the government is right, in particular not that right. Inabidi hapa tujitahidi kuelewana.

Usivae viatu vya mhamiaji haramu peke yake , jaribu kuvaa viatu vya JK. Unaweza kuona kuwa ujinga wa watu wa DRC kupokea wakimbizi ovyo, hata kuwapokea FDLR ndio unawaponza sasa.
 
Major problem ya Congo kwanza ni KAbila mwenyewe.Kabila ni puppet wa Rwanda na kashawahi kutumika jeshi la Rwanda akiwa dereva wa Kabarebe ambaye Leo ni minister of defence Rwanda.Kabarebe aliwahi kuwa chief of staff wa jeshi la Congo kipindi cha Kabila senior.kabarebe ndio Mchora ramani mkubwa wa vita zote huko Congo akitumiwa na Kagame.
 
Mkuu anajua kuna kitu ambacho huwa najiuliza mara kwa mara nakosa jibu - hivi wakuu wa SADC au International Community wamewahi kushtukia michezo hii ya kuhigiza inayo husu an open ended conflict ndani ya DRC - some of the keyplayers wa mgogoro huu wa kuchonga ni blood relatives kabisa, wakija kwenye mikutano ya usuruhishi wanajifanya ni sworn enemies i.e hawajuani kabisa!!
 
Major problem ya Congo kwanza ni KAbila mwenyewe.Kabila ni puppet wa Rwanda na
kashawahi kutumika jeshi la Rwanda akiwa dereva wa Kabarebe ambaye Leo ni minister of defence Rwanda.Kabarebe aliwahi kuwa chief of staff wa jeshi la Congo kipindi cha Kabila senior.kabarebe ndio Mchora ramani mkubwa wa vita zote huko Congo akitumiwa na Kagame.

Yosef awe dereva?????!!!!, ulongo mtupu
 
Back
Top Bottom