M23 to disarm if FDLR would be disbanded first

M23 to disarm if FDLR would be disbanded first

Mkuu JokaKuu njoo huku.
Kila siku tunasema kuwa M23 haina madai yoyote halali dhidi ya DRC. Leo Bisimwa anathibitisha madai ya Kagame kuhusu FDLR. Kagame ameshawahi kuingia DRC kuwatafuta FDLR leo Bisimwa anasema naye na M23 wanawatafuta FDLR.

Huu ni ushhidi usio na shaka kwa menye akili kuwa Rwanda ndiyo M23 na M23 ni wing ya RPF.
Bisimwa ameitwa Kampala hana hoja sasa imebaki madai yasiyohusiana na mgogoro.

M23 ni matokeo ya wanajeshi wa Kitusi kunyimwa fursa katika jeshi la DRC. Ndipo walipoaamua March 23 kuunda kundi kupingana na serikali. Kumbuka hawa walikwenda DRC kidogo kidogo kama wakimbizi na wahamiaji haramu. Mwisho wa siku wamekuwa mwiba mkubwa.

Solution ya DRC ni kawatwanga M23hadi mtu wa mwisho halafu PK aonye na UN kuhusu ushiriki wake wa mauji haya.
Ni suala la muda tu PK ipo siku ataelekea the Hague. Akina Bisimwa watakuwa mashahidi. Ntaganda katangulia, Nkunda bado anakunywa mvinyo. This craps need be disciplined.

Hawa Wanyarwanda hususani Watutsi mi huwa nashauri kwa Serikali kuwa waondolewe hata kwa mtutu. Wakishazaliana wataomba Kagera au Geita iwe ya kwao. Binadamu hawa hawabebeki kabisa.
 
JK kaona mbali kwelikweli kuwafurusha hawa ngedere, wasije wakasema Kagera na Geita ni za kwao pia! Big up JK!
 
Amakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
1. mpaka hapa you are right
2. hao wahutu wa rwanda wamegawanyika sehemu mbili.
  1. jeshi halali ya serikali iliyoongozwa na Habyarimana
  2. wakimbizi ambao walikimbia mauaji ya RPA ambao leo ni RDF. Kumbuka genocide imekuja as a result of RPA agression for 4 years, na RPA walikuwa wanatarget wahutu. Hivyo lazima kuwe na wakimbizi. Hata Tanzania kambi ilikuwa Kigoma (ya wahutu). Na evidence inaonyesha kuwa kagame ameua wakimbizi kibao wa kihutu wanaorudi Rwanda.
3. Vijana wenyewe ndio hao kina Bosco Ntaganda ambao ni wa Rwanda..
4. Serikali ya congo kwa nini ishirikiane na wahutu kuua watusi? na hii dhana kuwa dunia nzima inawachukia watusi inatokea wapi. maana hata leo Rwanda wanadai Tanzania, SA, Namibia, Botswana, congo, United nations ...wote wanaishambulia Rwanda(watusi) kwa nini, what is so special about tutsis?
 
Mkuu hii inatufundisha sisi tusiojua vizuri swala hili, maana mpaka sasa ukiangalia unaweza kuona tunajua habari za juu juu kuhusu uhutu na utusi. Kitu ambacho kwa maoni yangu naona ni ujinga. Naunga mkono sana mawazo ya PK kuwaita watu wa Rwanda wanyarwandam huu ujinga wa uhutu na utusi unatakiwa kuondolewa.

Lakini kauli ya Bisimwa kidogo inachekesha sana na ni kama kofi kwa PK. Kuna uhusiano gani kati ya FDLR na mapambano ya M23 dhidi ya serikali, na kuna uhusiano gani na suala la wakimbizi? Where did all grievances they had against DRC government go? vanished in thin air?

Mkuu nataka kujua ni kwanini Interhamwe wanawaua watusi? ni kwanini walifanya hivyo Rwanda na wakaenda kufanya hivyo DRC?

Mkuu umeuliza swali zuri,hawa wahutu wenye siasa kali dhidi ya watusi baada ya kufanya mauaji rwanda walikimbilia congo ambapo waliwakuta watusi wengine wa congo,sasa kwakua kuua mtusi ilikua agenda yao basi waliyaendeleza mauaji ya watusi huko.
 
Bongolander,kuhusu kauli ya bisimwa haikua kofi kwa kagame,kwani hao ndugu zao walio kimbilia rwanda na burundi walifukuzwa na hao FDLR eti kwasababu ni watusi,ndio maana ili ndugu zao warudi makwao inabidi hao Wanyarwanda FDLR watoke katika maeneo yao na ndugu zao warudi,hapo ndio watatia silaha chini na kuenda kulima na kufuga ng'ombe hawana haja ya kujiunga na jeshi kwani drc wameisha ua askari wa kitusi wengi tu kwa kuwapeleka katika ma unit mengine na kuwaua,nikusema ideology ya kuua watusi ilisha ingia katika wakongomani ndio maana amani haiwezi patikana wakati kuna hao waanzilishi wa mauaji ya kimbali ndani ya congo.
 
Last edited by a moderator:
jMali,swali la kwanini mtusi anachukiwa hata mimi hua najiuliza sipati jibu,lakini nilijaribu kuuliza mzee wakitusi aliniambia kua yote yalianzia wakati waukoloni kwani walitaka kuwatumia kukandamiza waafrika wenzao lakini aliyekua mfalme wakati huo aliwakatalia na wakamua ndio kuwachonganisha na kuanza mauaji,pili watusi huwezi kuwambia fanya hiki au kile bila kuhoji why,sasa kwa wengi ni dharau,ndio maana pk hukorofishana na hao jamaa kilasiku wao hawapendi,hawapendi mambo ya wazungu kuwachezea akili na kuiba mali za nchi,always ukionekana mtu makini lazima wazungu watafanya mbinu yoyote wakuangamize,sasa baada ya kuona kabila anauhusiano na watusi ndipo walimuingilia na kumtishia kumuondoa au ashirikiane nao kuwaondoa watusi ndani ya kongo wanaamini pindi mtusi atatawala congo hawata rudia kuiba mali ya kongo,kuhusu mauaji huo ni mwendelezo wa propaganda za wafaransa kwani wao ndio waasisi wa mauaji ya kimbali rwanda sasa wanahitaji kuiondoa selikali ya kitusi ili waondoe hiyo aibu ya kuitwa genociders.
 
Mkuu hali inasikitisha sana. Lakini naona moto ni lazima uwawakie FDLR, maana hawawezi kurudi Rwanda Kagame anawasubiri, na kama Kongo hakukaliki itabidi watue akili. Uzuri ni kuwa hapa Tanzania kuna wakati walijaribu kuleta uhutu na utusi kwenye makambi ya wakimbizi kule ngara waliambiwa mchezo huo hautakiwi.
 
Hawa Wanyarwanda hususani Watutsi mi huwa nashauri kwa Serikali kuwa waondolewe hata kwa mtutu. Wakishazaliana wataomba Kagera au Geita iwe ya kwao. Binadamu hawa hawabebeki kabisa.

We mgonjwa wa akili kabisa,huo mtutu unauweza? naona mnapiga makelele eti majambazi yana wasumbua sasa eti unataka kutumia mtutu kuwafukuza watusi?haya jaribu basi,nawafahamu watusi ni waungwana sana lakini ukianza kuleta mambo ya kifua wanakibomoa bila shida,tatizo hamjui historia ya ufalme wa rwanda ndio maana mnahoji kwamba kivu hakua rwanda,fanya utafiti uache kudandia story usizo jua.
 
Mkuu hali inasikitisha sana. Lakini naona moto ni lazima uwawakie FDLR, maana hawawezi kurudi Rwanda Kagame anawasubiri, na kama Kongo hakukaliki itabidi watue akili. Uzuri ni kuwa hapa Tanzania kuna wakati walijaribu kuleta uhutu na utusi kwenye makambi ya wakimbizi kule ngara waliambiwa mchezo huo hautakiwi.

Hao FDLR si tishio kwa rwanda bali hivi nitishio kwa hao watusi wa kongo,nguvu hawana bali sikuhizi SADC iliwakuanya hao FDLR kutoka sehemu mbalimbali za afrika na kuwapatia silaha ili watumiwe kupambana na m23,na mwishowe kuingia kigali.
 
Haiwezekani kuwa na madai kama haya halafu umma wa kimataifa uamini kwamba M23 siyo proxy army of Rwandan regime.
Turudi nyuma kidogo:
  1. Since ever Wanyamulenge (Congolese tutsi of Rwandan origin) have been struggling for identity, citizenship, political rights and rights to own land in the Congo.
  2. Ikumbukwe kwamba FDLR wamekuwa Eastern DRC since 1994 after their crushing defeat by RPF (Inkontanyi).
  3. The agreement between Congo govt and CNDP was signed on 23[SUP]rd[/SUP] March 2009, therefore the name M23 movement was derived.
The M23 uprising was in a bid to press Congo govt to honour the peace pact signed on 23[SUP]rd[/SUP] March 2009. To be honest madai ya M23 kuhusu FDLR hayakuwa kwenye huo mkataba wa amani which means that FDLR presence in Eastern DRC was not a threat to them. Ikumbukwe kwamba miaka ya nyuma Rwanda ilitumia sababu hiyo hiyo kuivamia Congo but unfortunately because of world's conspiracy walihalalisha uvamizi huo. Sasa umma wa kimataifa umeshatambua vema dhamira ya tutsi junta military leaders (PK, Mu7 & Co.) katika ku-destabilize eneo la Great Lakes, kwa hiyo ni vigumu kwao kuivamia Congo kwa uwazi kama walivyofanya huko nyuma. Inabidi waivamie Congo kupitia mlango wa nyuma (M23). Ndiyo maana zaidi ya asilimia 90 (90%) ya jeshi la M23 ni wanajeshi kutoka serikali ya Rwanda!! Now you can see kwa nini issue ya FDLR inakuwa raised na M23. Msimamo wa serikali ya Congo ni kwamba hawako tayari kujadili conditions mpya kwa maana hiyo M23 hawataweka silaha chini kuacha mapambano. Watutsi (bahima) wanajiandaa kwa vita ya kufa na kupona, vivyo hivyo Wakongo nao hawako nyuma katika kujiandaa kuifia nchi yao. Kuna uwezekano wa kutokea vita kubwa mashariki mwa Kongo itakayoilazimu UN brigade kuongeza ukubwa wa jeshi lake, nadhani nchi kama vile Angola, Namibia, Zimbabwe, nk zitaombwa haraka kuchangia wanajeshi. Hilo likitokea kiama cha M23 na Rwanda kitakuwa kimewadia, Paul Kagame atakamatwa kama kuku to the Hague kujibu tuhuma za mauaji katika eneo la Eastern DRC na yale aliyofanya nchini mwake. Ni vema M23 na Rwanda wasiruhusu hali hiyo itokee, wakubali kuweka silaha chini kwa faida yao na amani ya eneo zima la Great Lakes. Ikiwa M23 watakubali sasa kuvuliwa silaha ili waingizwe kwenye jeshi la Kongo kwa mara nyingine tena, serikali ya Kongo iwe makini sana maana kuna uwezekano mkubwa wakaingizwa wanajeshi wa Rwanda kwenye jeshi la Kongo. Wanyamulenge waache kutumiwa na Rwanda otherwise chuki itazidi kujengeka juu yao kutoka kwa Wakongomani kwamba wao ni Wanyarwanda hata kama haki zao za msingi zitatambuliwa na serikali ya Kongo.
Nawasilisha!
 
Nakushangaa sana hii analyisis yako haiko sawa,wewe nisawa na yule jamaa aliesema eti RPF ni askali wa uganda eti kwa sababu walikua ndani ya NRM,sio ajabu hata kabila alikua askali wa rwanda,hii vita kama ikitokea ndio utakua mwisho wa ant-tutsi kwani mtusi hatakubali tena kutega shingo achinjwe,pole sana kwa watu wanaofikilia kuangamiza mtusi katika hii dunia,mpango wote unajulikana so watusi hawana wasiwasi kabisa kwani kama ni mateso na kuawa wamechoka,na nafikili kama vita itatokea utakua wakati muafaka wakushikisha adabu ma ant-tutsi wote.
 
jMali,swali la kwanini mtusi anachukiwa hata mimi hua najiuliza sipati jibu,lakini nilijaribu kuuliza mzee wakitusi aliniambia kua yote yalianzia wakati waukoloni kwani walitaka kuwatumia kukandamiza waafrika wenzao lakini aliyekua mfalme wakati huo aliwakatalia na wakamua ndio kuwachonganisha na kuanza mauaji,pili watusi huwezi kuwambia fanya hiki au kile bila kuhoji why,sasa kwa wengi ni dharau,ndio maana pk hukorofishana na hao jamaa kilasiku wao hawapendi,hawapendi mambo ya wazungu kuwachezea akili na kuiba mali za nchi,always ukionekana mtu makini lazima wazungu watafanya mbinu yoyote wakuangamize,sasa baada ya kuona kabila anauhusiano na watusi ndipo walimuingilia na kumtishia kumuondoa au ashirikiane nao kuwaondoa watusi ndani ya kongo wanaamini pindi mtusi atatawala congo hawata rudia kuiba mali ya kongo,kuhusu mauaji huo ni mwendelezo wa propaganda za wafaransa kwani wao ndio waasisi wa mauaji ya kimbali rwanda sasa wanahitaji kuiondoa selikali ya kitusi ili waondoe hiyo aibu ya kuitwa genociders.
sio kweli bwana huyo mzee wa kitusi kakuzingua.
1. Hivi kweli hujui kuwa watusi walitumiwa na wakoloni kutawala? mbona hiyo iko wazi na wewe uko kazini nini?
2. Tatizo sio watusi kwa ujumla tatizo ni baadhi ya watusi ambao bado wanataka kuendeleza ukoloni ule ule walioachiwa na wazungu. Ndio maana huoni watusi wa Burundi wanachukiwa wakati historia yao ni ile ile kama ya Rwanda. Wao wamekubali kuwa haiwezekani minorities kutawala majority ndio maana kuna makubaliano na leo wanaishi vizuri tu Burundi.
Sasa wakina kagame ambao ni familia ya kifalme ndio wanaolazimisha mambo na kuwafanya watusi wote kuwa wabaya. watusi ni minorities in kongo lakini ndio the largest represented group in the army kiasi cha kufikia kuunda majeshi ya waasi, how come? kama sio conspiracies za kutawala great lakes?
 
Amakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
Acha kupotosha watu wenye akili zao timamu, kawaandikie watusi wenzako ushuzi huu
 
Nashukuru kwa kunielimisha kuhusu M23 na FDLR, lakini naomba kuuliza:

Kwa nini jeshi la UN lisiwashambulie na FDLR, kwanini M23 peke yao? Maana wote ni waasi.

Kwa upande mwingine naona hoja za M23 kuhusu wakimbizi wa nchi jirani tusiibeze sana japo naona haitekelezeki
Mkuu JokaKuu njoo huku.
Kila siku tunasema kuwa M23 haina madai yoyote halali dhidi ya DRC. Leo Bisimwa anathibitisha madai ya Kagame kuhusu FDLR. Kagame ameshawahi kuingia DRC kuwatafuta FDLR leo Bisimwa anasema naye na M23 wanawatafuta FDLR.

Huu ni ushhidi usio na shaka kwa menye akili kuwa Rwanda ndiyo M23 na M23 ni wing ya RPF.
Bisimwa ameitwa Kampala hana hoja sasa imebaki madai yasiyohusiana na mgogoro.

M23 ni matokeo ya wanajeshi wa Kitusi kunyimwa fursa katika jeshi la DRC. Ndipo walipoaamua March 23 kuunda kundi kupingana na serikali. Kumbuka hawa walikwenda DRC kidogo kidogo kama wakimbizi na wahamiaji haramu. Mwisho wa siku wamekuwa mwiba mkubwa.

Solution ya DRC ni kawatwanga M23hadi mtu wa mwisho halafu PK aonye na UN kuhusu ushiriki wake wa mauji haya.
Ni suala la muda tu PK ipo siku ataelekea the Hague. Akina Bisimwa watakuwa mashahidi. Ntaganda katangulia, Nkunda bado anakunywa mvinyo. This craps need be disciplined.
 
how does M23 demanded other group to disarm??? wao demand zao zinatakiwa ziwe dhidi ya serikali ya congo na si vikundi vingine!!!

maajabu, waasi wa DRC wanataka kikundi cha waasi cha nchi nyingine kivunjwe! haiji akilini hata kidogo!
 
hilo dai la kwamba wakimbizi warudi ni la kijanja na ni la watusi kutaka kujitanua. wakisema warudi wataenda mara kumi ya wakimbizi halali na lengo lao la kutafuta ardhi kwa kuvamia nchi nyingine litakuwa limetimia. ila kuhusru FDLR kuwa disbanded nakubaliana nalo. lakini lisiwe sharti ya kutua silaha. inawezakana kabisa kuwanyanganya silaha hao m23 na baadae kuwageukia FDLR. vyote ni vikundi visivyotakiwa na m23 hawawezi kusema wenzao ni wabaya kuliko wao. jana nimesoma kwenye the east african eti wanasema m23 waliokimbilia rwanda wameriot wanataka kurudi nyumbani CONGO. hiyo ni janja nyingine ya kutaka kupeleka wanajeshi zaidi congo.

hayo mazungumzo ni kupoteza muda hao ni wapigwe na kuporwa silaha, halafu wageukiwe FDRL, maimai, ADF and the like.
 
harafu sio watusi tu wenye haki ya kujilinda wahutu pia wanayo. kwenye vita ya kwanza ya congo. RPF walivamia makambi ya wakimbizi huko congo na kuua wahutu zaidi ya laki mbili. kwa hiyo nao wanaogopa wakitua silaha watakuwa annihilated. kwa hiyo cha msingi ni wote kuporwa silaha m23 na FDLR. na m23 hawawezi kutuchagulia wa kuanza nae. tunaanza na the fierce one.
 
Haswa jamaa ni wakaidi kweni. Wameamua kuonyesha wazi kuwa DRC wanawawinda Wahutu kwa niaba ya Rwanda. Halafu wanadai na kujiita Wakongo, wakati wanatumikia interest za Rwanda.

Hii ni sawa na uzi uliwekwa hapa JF wiki chache zilizopita ukisema kuwa Rwanda alizuia azimio la UN security council lilokuwa limeletwa na Marekani na Ufaransa kuwaongezea vikwazo viongozi wakuu wa M23.

Pia JWTZ imetaafu kupitia twitter @JW_TZ: "Vita imefika Def Con 003, ni ushindi wa 96%, Hii inatokana na kufanikiwa kukamata mateka 2602 ikiwemo maafisa wa juu wa 4 wa Jeshi la Rwanda"

Mambo yako dhahili sasa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mmekatazwa kujadili mambo ya miggogoro ya congo....
 
Back
Top Bottom