Somo. ukituma pesa kimakosa kwanza unegotiate na mhusika isionekane unampa gharama na bugudha yeye wakati aliyekosea ni wewe. Mpe hata proposala ya kubakiza kiasi fulan kwa ajili ya kufudia usumbufu atakaoingia
Ni makosa yako usilaumu VODA kwa sababu unapotuma hela jina la unayemtumia linaonekanaSiyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Bado tutasema wanauweka. Hakuna jema kwa bin adam. Umeambiwa hakikisha kabla hujathibitisha. Hapa hukupaona? Waache kazi wakusaidie wewe mzembe?Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Hapaa umenena mkuuVodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
ahaaaa!Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Siijui chanzo chake kivipi...si imetoka kwa mzembe mmoja huko Buguruni, au chanzo gani unataka? Mwizi ni mtu aliyeiba, aidha mali au mke wa mtu, sasa mimi nimetumiwa pesa, utaniitaje mwizi?Kama utatoa pesa usiyoijua chanzo chake hutakwepa kuitwa mwizi. Na ukijifanya kushtaki utanyea ndoo tu kwani sheria ni msumeno na watoa hukumu mahakamani Hutumia references mbalimbali kabla ya kutoa hukumu.
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?
5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?
Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
"Hiyo kitu haipo. Hatua ya mwisho ni kuthibisha kwa kubonyeza 1, au kubatilisha kwa kubonyeza 2"Nadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Pole ndugu. Haya maoni unayopata hapa yanawakilisha mawazo ya Watanzania. Kama unavyoona maoni hapa, Watanzania wengi tuna roho mbaya. Na ndio hao hao tunaofanyakazi Voda na makampuni mengine. Badala ya kusaidiwa utalaumiwa wewe!Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Hiyo ta kuhakiki majina haifanyi kazi mara zote kuna transactiin za mpesa huwa hazitoi majina ya mtu unayemtumia , sijui kwa nini voda wameshindwa kulifanyia kazi hili, tigo ndio wako vizuri kwa hilo sijawai kutanya transaction ya tigo pesa isilete jina la mtumiwa pesaNadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!
Hatua ya kuhakiki majina ya unakotuma pesa ipo mkuu, shida ni kuwa kwa voda huwa haifanyi kazi wakati wote, hata kwenye app yao ya android , kuna wakati haitoi majina"Hiyo kitu haipo. Hatua ya mwisho ni kuthibisha kwa kubonyeza 1, au kubatilisha kwa kubonyeza 2"
Tulihama mabank ATM tukaja M pesa kwa sababu ya uharaka leo unataka turudi tulipotoka sio.? Ushawahi kuwa na emergence ya hela na upo fasta la sivyo kila kitu kinaharibika?Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe