Sheria za nchi hii zinafanya kazi upande mmoja tu shilingi.Kama Kosa ambalo huyo Mwenyekiti wa BAVICHA amelifanya ndiyo hilo la kupiga Picha hapo Kituoni au mule ndani naungana na Polisi tena kwa 100%. Na kilichonisikitisha zaidi muda si mrefu nimetoka kupitia Kurasa ya Mbunge wangu na Mwanamke ambaye namheshimu kabisa na ni Mwanasheria mzuri tu Dada yangu Halima Mdee ambaye naamini kabisa kwamba hata Yeye anajua fika kuwa kupiga picha eneo la Polisi au mule ndani walipo wale Mahabusu ni Kosa lakini Yeye ( Halima Mdee ) amelaumu na kama vile Kudhihaki hatua iliyochukuliwa na Jeshi la Polisi.
CHADEMA Watani zangu wa Kisiasa kama msipokuwa makini, kujitathmini na kuacha kuishi kwa mazoea na kutawaliwa na mihemko yenu kila siku mtakuwa mnalialia tu hovyo, kuilaumu Serikali / Mamlaka na Vyombo vyake vyote vya dola kuwa inawaonea wakati kumbe Kiuhalisia kuna muda nyie wenyewe ndiyo huwa mnakuwa sehemu ya matatizo ambayo yanawakumba.
CHADEMA badilikeni tafadhali.
Yaani kwa ujinga huu hata waliokuwa wanampenda japo kidogo huyo mzee wa frastrations watamchukia tu nakwambiaMkt wa BAWACHA Segerea bi. Agnesta Lambert anashikiliwa na Jeshi la Polisi Oysterbay na amenyimwa dhamana. Kosa analotuhumiwa ni kupiga picha.
Kiongozi huyo alikwenda kwa lengo la kumtembelea bi. Aida majeruhi wa risasi ambaye yuko mikononi mwa polisi siku ya 11 sasa.
------
Hongera Jeshi la Polisi kwa kusimamia maadili.
Agnesta Lambert. Ha ha ha, mzungu wa wapi huyu?Mkt wa BAWACHA Segerea bi. Agnesta Lambert anashikiliwa na Jeshi la Polisi Oysterbay na amenyimwa dhamana. Kosa analotuhumiwa ni kupiga picha.
Kiongozi huyo alikwenda kwa lengo la kumtembelea bi. Aida majeruhi wa risasi ambaye yuko mikononi mwa polisi siku ya 11 sasa.
------
Hongera Jeshi la Polisi kwa kusimamia maadili.
Sasa kwa nini hakwenda na hiyo hiddden camera?Angekua na hidden camera je, asingepiga picha?
Tandahimba ndo duniani au ndo kwenu hukoUongo wako huo, eti hakuna polisi aliowahi kusifiwa duniani, duh ujuha wako huo!! Umetembea tandahimba!!
Naomba kifungu tafadhari..niongeze ufahamu zaidiHata kwa hili bado mna mtetea? Hivi kweli hata hilo hamtambui ni kosa?
SIO RUBBISH KAMA HAKUNA KATAZO LA AINA YOYOTE YA MBAO ZA MATANGAZO, YA MANENO KABLA YA KURUHUSIWA KUINGIA , HAPA NANI ANA MAKOSA?Rubbish
Wakati Chadema wanalalamika kuonewa na nyinyi mnaona ni sawa...Nchi inaendelea kupoteza uhalisia wake.Kama Kosa ambalo huyo Mwenyekiti wa BAVICHA amelifanya ndiyo hilo la kupiga Picha hapo Kituoni au mule ndani naungana na Polisi tena kwa 100%. Na kilichonisikitisha zaidi muda si mrefu nimetoka kupitia Kurasa ya Mbunge wangu na Mwanamke ambaye namheshimu kabisa na ni Mwanasheria mzuri tu Dada yangu Halima Mdee ambaye naamini kabisa kwamba hata Yeye anajua fika kuwa kupiga picha eneo la Polisi au mule ndani walipo wale Mahabusu ni Kosa lakini Yeye ( Halima Mdee ) amelaumu na kama vile Kudhihaki hatua iliyochukuliwa na Jeshi la Polisi.
CHADEMA Watani zangu wa Kisiasa kama msipokuwa makini, kujitathmini na kuacha kuishi kwa mazoea na kutawaliwa na mihemko yenu kila siku mtakuwa mnalialia tu hovyo, kuilaumu Serikali / Mamlaka na Vyombo vyake vyote vya dola kuwa inawaonea wakati kumbe Kiuhalisia kuna muda nyie wenyewe ndiyo huwa mnakuwa sehemu ya matatizo ambayo yanawakumba.
CHADEMA badilikeni tafadhali.
Kama Kosa ambalo huyo Mwenyekiti wa BAVICHA amelifanya ndiyo hilo la kupiga Picha hapo Kituoni au mule ndani naungana na Polisi tena kwa 100%. Na kilichonisikitisha zaidi muda si mrefu nimetoka kupitia Kurasa ya Mbunge wangu na Mwanamke ambaye namheshimu kabisa na ni Mwanasheria mzuri tu Dada yangu Halima Mdee ambaye naamini kabisa kwamba hata Yeye anajua fika kuwa kupiga picha eneo la Polisi au mule ndani walipo wale Mahabusu ni Kosa lakini Yeye ( Halima Mdee ) amelaumu na kama vile Kudhihaki hatua iliyochukuliwa na Jeshi la Polisi.
CHADEMA Watani zangu wa Kisiasa kama msipokuwa makini, kujitathmini na kuacha kuishi kwa mazoea na kutawaliwa na mihemko yenu kila siku mtakuwa mnalialia tu hovyo, kuilaumu Serikali / Mamlaka na Vyombo vyake vyote vya dola kuwa inawaonea wakati kumbe Kiuhalisia kuna muda nyie wenyewe ndiyo huwa mnakuwa sehemu ya matatizo ambayo yanawakumba.
CHADEMA badilikeni tafadhali.
Hata mbwa atakuwa na heshima kuliko baadhi ya wachangiaji! Jana Mambosasa kasema hakuna majeruhi mahabusu na kwamba tunapewa uthibitisho wa picha (hata kama ni kosa) mbwa wengine wanachukia!! Mbwa ni mbwa tu hata kama ni binadamu!Kama Kosa ambalo huyo Mwenyekiti wa BAVICHA amelifanya ndiyo hilo la kupiga Picha hapo Kituoni au mule ndani naungana na Polisi tena kwa 100%. Na kilichonisikitisha zaidi muda si mrefu nimetoka kupitia Kurasa ya Mbunge wangu na Mwanamke ambaye namheshimu kabisa na ni Mwanasheria mzuri tu Dada yangu Halima Mdee ambaye naamini kabisa kwamba hata Yeye anajua fika kuwa kupiga picha eneo la Polisi au mule ndani walipo wale Mahabusu ni Kosa lakini Yeye ( Halima Mdee ) amelaumu na kama vile Kudhihaki hatua iliyochukuliwa na Jeshi la Polisi.
CHADEMA Watani zangu wa Kisiasa kama msipokuwa makini, kujitathmini na kuacha kuishi kwa mazoea na kutawaliwa na mihemko yenu kila siku mtakuwa mnalialia tu hovyo, kuilaumu Serikali / Mamlaka na Vyombo vyake vyote vya dola kuwa inawaonea wakati kumbe Kiuhalisia kuna muda nyie wenyewe ndiyo huwa mnakuwa sehemu ya matatizo ambayo yanawakumba.
CHADEMA badilikeni tafadhali.
Acha uongo wako wewe!!Inategemea ni sehemu gani unapiga picha. Jeshini huruhusiwi,Polisi,Ikulu,Wodini mpaka kwa kibali. Tuheshimu mamlaka.
Mbona Pale ilala boma ofisi ya mkuu Wa mkoa kuna zuio la biashara lkn Bdo Kna watu wanafanya biasharaUsipige picha hapa... Unapiga..
Huyo dada hana tofauti na wale wanaoambiwa usifanye biashara hapa, halafu yeye ndio kwanza anapaki beseni lake la mihogo na machungwa..
Tii sheria bila shurti!
Pamoja na kushikiliwa kikatili lakini sheria haitoi opportunity ya kupigwa picha katika mazingira hayo. Alichopaswa kukifanya ni kuipiga kwa kificho na kiisambaza kwa kificho, lakini si kama alivyofanya huyo bint.Unamshikilia mtu mahabusu kikatili halafu unakataza kupiga picha? Jambo la kipumbavu kabisa! Lakini najua hata kuandamana litakuwa ni kosa tena maandamano yetu yatakuwa kushinikiza utawala huu uondoke madarakani hivyo tutakuwa tunafanya uhaini! Ila tutaandamana maana ndiyo njia sahihi ya kupambana na mshenzi.
Swali la msingi ni kwann ampige picha huyo Aida? na kwann leo?....Aida ni mhanga anayehitaji msaada kwa namna yoyote ile, ili kufanikisha hilo lazima kila mbinu itumike kuonesha ukweli iwe mbinu halali au isiyo halali! kuongeza msukumo kwa Jeshi la polisi kumtendea haki Aida. Ni rahisi kumlaumu mwenyekiti wa Bavicha lakini inahitaji uwendawazimu nakujitolea kufanya aliyoyafanya...Saidieni serikali ifanye reformation jeshi la polisi ili haki za raia zisikiukweKama Kosa ambalo huyo Mwenyekiti wa BAVICHA amelifanya ndiyo hilo la kupiga Picha hapo Kituoni au mule ndani naungana na Polisi tena kwa 100%. Na kilichonisikitisha zaidi muda si mrefu nimetoka kupitia Kurasa ya Mbunge wangu na Mwanamke ambaye namheshimu kabisa na ni Mwanasheria mzuri tu Dada yangu Halima Mdee ambaye naamini kabisa kwamba hata Yeye anajua fika kuwa kupiga picha eneo la Polisi au mule ndani walipo wale Mahabusu ni Kosa lakini Yeye ( Halima Mdee ) amelaumu na kama vile Kudhihaki hatua iliyochukuliwa na Jeshi la Polisi.