Message from Juma Mwapachu

Message from Juma Mwapachu

Lowassa's corrupt activities are an open secret in and outside Tanzania. At CCM's presidential nominee conference in Dodoma, former PM Mr. Sumaye was quoted saying if a corrupt candidate was selected, he would the party. He was reffering to Lowassa. Lowassa's corrupt activities aren't limited to the Richmond case only, but since the late 1980's when he was a servant at the CCM office in Arusha. Mwapachu fool bodas, chingas, m/ntilie not we matures.
 
Hii elimu yangu niliyopewa unayosema kuwa ni duni mbona ndiyo hiyohiyo ya Mwapachu anaeongea kiingereza kizuri? Namaanisha ni elimu ya chama tawala, kwa hiyo nakushauri tu kwamba maisha ni akili yako tu kichwani kama ulivoona utafauti wangu wa kiingereza kati yangu na Mwapachu wakati wote tumepewa elimu na CCM, so hata ikiingia CHADEMA ni hivo hivo wenye akili wataendelea kuneemeka na wajinga wataendelea kuwa wajinga tena this time mjinga atahenyeka sana.Usitegemee eti mabadiliko yanayohubiriwa basi watu watakula mana kama wana wa Israel la hasha. There is price and sacrifice in that so usiichukulie powa sana

Mwapachu kasoma India. Kawa balozi wa Tz India. Kiingereza chake pia ni kutokana na experience kazini kwa kutumia lugha hiyo ya kiingereza.

Unavosema hata chadema ikiingia mambo ya elimu yatakua hivihivi naona unakosea. Na sio kweli wajinga watahenyeka!

EL anasema hivi, vijana wanaomaliza elimu ya sekondari, vijana waliofeli la saba, vijana wasio na ajira, wenye umri sawa na waliomaliza kidato cha sita (17yrs), wote wanakwenda "JKT KWA MIAKA MIWILI"

Mwaka wa kwanza wa jkt wanapiga kwata. Mwaka wa pili wa jkt, wote wanapewa elimu ya VETA kulingana na ufundi ambao unapendelea, hata kama ni upishi.

Baada ya hapo, anaetaka aende chuo kikuu na aende, anayetaka kurudi mtaani au labda alifeli, basi arudi mtaani akafanye kazi kupitia elimu ya VETA aliopata TENA BUUUUURE!

Mimi naona hili ni jambo zuri. Matunda tunaweza tusiyaone mapema ila ni jambo zuri kwa watoto na vizazi vijavyo. Kwaio, WATU WATANEEMEKA NA SIO KUHENYEKA!
 
Sikubaliani na wewe ila ngoja nikusaidie kitu;

Unajua maana ya "phobia"? Inamaanisha uwoga wa kitu fulani.

Unavosema mzee mwapachu anapenda aonekane mzungu halafu unasema "uzungu-phobia" unakosea. Wewe ulitaka kusema "UZUNGU-PHILIA"!

Haya , edit pale halafu ndo nianze kukupinga! Na kukufundisha ugonjwa unaoitwa "Vitiligo" unaosababisha ngozi kuwa nyeupe na yenye mabakabaka.

Jinga kabisa wewe! ELIMU, ELIMU, ELIMU!

Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo
 
Hii elimu yangu niliyopewa unayosema kuwa ni duni mbona ndiyo hiyohiyo ya Mwapachu anaeongea kiingereza kizuri? Namaanisha ni elimu ya chama tawala, kwa hiyo nakushauri tu kwamba maisha ni akili yako tu kichwani kama ulivoona utafauti wangu wa kiingereza kati yangu na Mwapachu wakati wote tumepewa elimu na CCM, so hata ikiingia CHADEMA ni hivo hivo wenye akili wataendelea kuneemeka na wajinga wataendelea kuwa wajinga tena this time mjinga atahenyeka sana.Usitegemee eti mabadiliko yanayohubiriwa basi watu watakula mana kama wana wa Israel la hasha. There is price and sacrifice in that so usiichukulie powa sana

Mkuu umejibu vizuri, hakuna wakati unaoenda kuwa mgumu kama baada ya uchaguzi,

1. Kama CCM watapita, watatka kurudisha gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa mara 3 zaidi ya kipindi kingine chote cha uchaguzi, miradi ya wachina itaongezeka mjini hapa maana familia kuu itaendelea kushika hatamu kwenye hizi biashara. Sina uhakika kama kweli Magu anaweza kuzuia chochote, ukute na yeye ataingia huko kama watangulizi wake.

2. Kama upinzani utapita, kuna kurudisha gharama za uchaguzi, hapa ni kwa Lowassa na marafiki zake (anaosema ndo wanamdhamini), kuna kutaka kurudisha deal alizonyanganywa na Familia ya Mkuu kupitia kwa Rizimoko baada ya kuondolewa kwenye system, marafiki zake watataka nao wapate tenda mbali mbali ikiwamo kujineemesha na hii rasilimali mpya (gas) ambayo inatutoa macho, lakini pia watu kama Mbowe watakuwa kwenye system na tutaanza kuona nyota nyota sasa.

Mimi kwa utabiri wangu naiona miaka mitano ya ukame Tanzania kwa yeyote atakayeingia madarakani, kodi zitaongezeka, bei za vitu zitapanda, hela yetu itaendelea kushuka thamani, ajira zitakuwa ngumu, na mengineyo.

So, tujipange.
 
Ukisema -phobia maanake anakichukia kitu tajwa. Uzunguphobia maanake anachukia uzungu. Ulipaswa kutumia -philia yaani uzunguphilia.
-phobia (chukia)
-philia (penda)

Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika nimerekebisha nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo
 
Huna adabu wewe..kwani kizungu ndio kusomaa?CCM imewashika pabaya sana...mtakunya hadharani sasa
 
Asante kunisahihisha.Wengine lugha ya mkoloni wa kiingereza inatusumbua.Nimeandika Mwapachu ana Uzunguphilia ndio maana anapenda kujipaka mkorogo

Karibu! Kuna ugonjwa unaitwa "Vitiligo" unasababisha mabaka-mabaka meupe kwenye ngozi. "Kisukari" pia huweza kusababisha kitu hiki. Magonjwa haya humpata mtu sio kwa sababu ya mkorogo bali kwa vyanzo vingine. Naomba u-google magonjwa haya ili uelewe vizuri.

Kwa hio usikimbilie kusema ni mkorogo kumbe mwenzako anaumwa!
 
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Apigwe chini tuuu,

Naipenda nchi yangu Tanzania. Niliweka Tumaini Chadema kuwa watakuwa wakombozi, nao wamenisaliti kwa kumchukua aliyeshindikana CCM eti aje awe Rais.

Kama CCM wamefika mahali wamemwida GAMBA na upinzani wakamwita FISADI ni nani anayeweza kutuaminisha vinginevyo?

Masikini Chadema, unatutusaliti kwa kutubusu? kwa kupata vipande vya fedha?

Kama MUNGU upo upande wetu waTanzania, ni nani aliyejuu yetu? NONE.

Mwapachu na Kingunge sio ASSETS kwa watanzania bali ni mizigo hata CCM walichoka kuwabeba
 
You have nailed it mdingi Mwapachu, so sad magufuli wont catch the glimpse of your wise words
 
Mkuu umejibu vizuri, hakuna wakati unaoenda kuwa mgumu kama baada ya uchaguzi,

1. Kama CCM watapita, watatka kurudisha gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa mara 3 zaidi ya kipindi kingine chote cha uchaguzi, miradi ya wachina itaongezeka mjini hapa maana familia kuu itaendelea kushika hatamu kwenye hizi biashara. Sina uhakika kama kweli Magu anaweza kuzuia chochote, ukute na yeye ataingia huko kama watangulizi wake.

2. Kama upinzani utapita, kuna kurudisha gharama za uchaguzi, hapa ni kwa Lowassa na marafiki zake (anaosema ndo wanamdhamini), kuna kutaka kurudisha deal alizonyanganywa na Familia ya Mkuu kupitia kwa Rizimoko baada ya kuondolewa kwenye system, marafiki zake watataka nao wapate tenda mbali mbali ikiwamo kujineemesha na hii rasilimali mpya (gas) ambayo inatutoa macho, lakini pia watu kama Mbowe watakuwa kwenye system na tutaanza kuona nyota nyota sasa.

Mimi kwa utabiri wangu naiona miaka mitano ya ukame Tanzania kwa yeyote atakayeingia madarakani, kodi zitaongezeka, bei za vitu zitapanda, hela yetu itaendelea kushuka thamani, ajira zitakuwa ngumu, na mengineyo.

So, tujipange.

Asante kwa tahadhari. Ila hakuna nchi iliofanikiwa kiuchumi bila kuumia. No pain no gain.
 
Karibu! Kuna ugonjwa unaitwa "Vitiligo" unasababisha mabaka-mabaka meupe kwenye ngozi. "Kisukari" pia huweza kusababisha kitu hiki. Magonjwa haya humpata mtu sio kwa sababu ya mkorogo bali kwa vyanzo vingine. Naomba u-google magonjwa haya ili uelewe vizuri.

Kwa hio usikimbilie kusema ni mkorogo kumbe mwenzako anaumwa!

Anhaa kumbe anaumwa!
 
At last January has found his match in Mr. Mwapachu!
 
Huna adabu wewe..kwani kizungu ndio kusomaa?CCM imewashika pabaya sana...mtakunya hadharani sasa

Mwehu huyo
Mimi nilikuwa na wafanyakazi wanyasa hawajui kusoma wala kuandika.Wanaongea kiiingereza kuliko Mwapachu
 
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.
he is a fat cat writing to fat cats. can he be another old wieldbeast seeking green pastures? may be but he seems to be in perpetual green grasses.
 
Asante kwa tahadhari. Ila hakuna nchi iliofanikiwa kiuchumi bila kuumia. No pain no gain.

Sure, kinachoumiza kwetu ni kwamba yanakuwa maumivu ya upande mmoja, tunazuga kulalamika wote ila wengine wanalalamika kinafiki. Wakiwa ndani mwao wanatucheka jinsi wanavyotutumia kujineemesha wao.
 
Of course you are too green a rookie and void of gray matter upstairs to understand the calibre of a person like Ambassador Juma Volter Mwapachu; a notable who is who in Tanzania business community and the international diplomatic fraternity; you are dismissed with the contempt that you deserve. bs

Then he deserves to be a messenger in a chamber of commerce office or a messenger in a diplomatic mission not a politician
 
Back
Top Bottom