msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Ukisema -phobia maanake anakichukia kitu tajwa. Uzunguphobia maanake anachukia uzungu. Ulipaswa kutumia -philia yaani uzunguphilia.Sio kuandika tu hata sura huwa anajipodoa na mkorogo ili aonekane kama mzungu.Ana UZUNGUPHOBIA
-phobia (chukia)
-philia (penda)