Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Sio wapiga kura tu, hata baadhi ya wagombea urais hawajui kiingereza, mfano JPM amasema "you was ..."Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?.
Sio wapiga kura tu, hata baadhi ya wagombea urais hawajui kiingereza, mfano JPM amasema "you was ..."Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?.
Usimlaumu yeye kwa kutokusoma kwako kilaumu Chama cha Mapinduzi!Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Karani wa Vibaka Ltd ukitapatapa dakika za mwisho..kibarua chako kinakoma jumamosi hii..
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Haya maneno yako umewaandikia Watanzania wangapi bwna Mwapachu??,,,hivi huoni kama Watanzania lugha yao ni kiswahili? Na hapa wametoka kapa??
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?
Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
Kwani huyu baba Mwapachu hajui kiswahili, kila siku anaandika kiinglish
Usimlaumu yeye kwa kutokusoma kwako kilaumu Chama cha Mapinduzi!
Nawashangaaga sana mazombie kama wewe.....unakiri hujasoma then unaung'ang'ania mfumo mbovu ulokuweka hapo katika dimbwi la umaskini, ujinga na maradhi!
AMKA ndugu yangu!
Laumu CCM kukufanya kilaza, NUSU MFU... dead walking man..
So, hata mgombea wako, hajui what is written here..!! So, upo kama haupo, haupo kama upo..!!! Ndio CCM imekufanyia UFIRAUNI... usha chafukwa, kazi kukariri tu..!!!
Lowassa is the next President..!!!
Usimlaumu yeye kwa kutokusoma kwako kilaumu Chama cha Mapinduzi!
Nawashangaaga sana mazombie kama wewe.....unakiri hujasoma then unaung'ang'ania mfumo mbovu ulokuweka hapo katika dimbwi la umaskini, ujinga na maradhi!
AMKA ndugu yangu!
Kwani huyu baba Mwapachu hajui kiswahili, kila siku anaandika kiinglish
Unasikitisha sana!! unasisitiza kuwa ukinijibu utakuwa mjinga, lakini wakatihuohuo unaendelea kuandika mistari...jitambue, kuwa na msimamo na simamia na amini unachokisema.Is shame for me to reply to 🐗🐗
It is really unreasonable & losing my status...!! So keep on 🐙🐙🐗🐗
Whatsoever, whoever ur, pumbavu wee, majizi ya CCM, shit..!!! Mmeua nchi hii..!! 🐗🐗
Sio kuandika tu hata sura huwa anajipodoa na mkorogo ili aonekane kama mzungu.Ana UZUNGUPHOBIA