Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Acha kumtakia mabaya mwenzako wewe, unaonekana una roho mbaya wewe mwanamke sasa kikidoda we utapata faida gani?? Wewe ni mwanamke wa ajabu kabisa humu jf.
Wewe ndo hujielewi kabisa na hayo ni maoni yangu wewe unione na roho nzuri au mbaya I don't care issue ya interpretation ya nilichoandika ni kaxi ya ubongo wako. Usi Force tufanane
 
Hatuna wivu, Ila alitu disappoint wengi kaja kujitaftia umaarufu Ili apige story si angesema tu mwanzo wa story. Dah Mimi hata ukinipa bure sisomi hicho kitabu mzuka ulishakata kabisa
cariha umeandana na jina lako kwa lugha ya kiarabu yaani ni kuchukia .unaonekana una wivu sana kwa maendeleo ya wenzako vitabu vinauzwa sio bure sasa hicho cha bure cjui utakipata wapi labda atokee mwana JF akununulie .Wacheni roho mbaya na weye kma una stori yako lete tutakusapoti vile vile .
 
Wewe ndo mchawi Kama huelewi my simple logic ur useless in this planet, narudia tena kitadoda mara dufu na hauhitaji PhD kujua hilo.
Na hii story haijaniuma ila Mimi hukemea ujinga wowote humu na sio hii story tu hata mada za kipumbavu
Wacha Jazbaa hiyo sijui weye ni mkorofiii
 
cariha umeandana na jina lako kwa lugha ya kiarabu yaani ni kuchukia .unaonekana una wivu sana kwa maendeleo ya wenzako vitabu vinauzwa sio bure sasa hicho cha bure cjui utakipata wapi labda atokee mwana JF akununulie .Wacheni roho mbaya na weye kma una stori yako lete tutakusapoti vile vile .
Sina wivu wa kijinga ila penye ukweli nitasema daima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom