Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee[emoji38][emoji38][emoji38]

Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
Ww mwenyew upo teragram
 
Yes ukweli usemwe! Awali alitudharau but right now anaona tuna umhimu, si vzr kuwadisiapointi watu alafu urudi tena bila kuomba radhi ukihitaj kampani yao. Binafs siwez ata kukipigia chapoo kwa marafk zangu wapenda kusoma vitabu ambao hawapo jf[emoji57], yes bora ikae hivo[emoji850]
Mtoto wa kiume una wivu wa kike hatar sana
 
Hii biashara itafeli kwa sababu wewe Ulileta dharau kwenyw platform inayokujua

Nina hakika nje ya humu hujulikani ndio sababu ukalazimika kutumia identity unayotumia humu

Kama wateja wa humu wataendeleza hasira Mungu akusimamie

Kama watasahau na kuganga yajayo wakanunu basi ni suala la kushukuru Mungu
Moja ya dalili za maisha magumu ni kuwa na wivu na chuki za kijinga
 
Moja ya dalili za maisha magumu ni kuwa na wivu na chuki za kijinga
Sina maisha magumu mkuu na sina wivu lakini nina chuki kwa kuwa alidharau buku yangu

Kwahiyo sinunui wala sitangazi biashara kwa mtu yeyote
 
Hicho kitabu kikidoda wewe utafaidika na nini? Wewe mwanamke una roho ya kichawi sana.

Ila hii story imekuuma sana kukatishwa, mbona ziko story nyingi tu zinaanzishwa huku alafu azimalizwi lakini sijawai kukuona unalalamika hivi.

Kama ni ishu ya kulipia matangazo hapa JF anzisha na wewe forum yako uanze kucharge hela matangazo yatakayokuwa yanawekwa huko. Ila kwenye hii forum huo ujinga wako wa kusema jamaa alipie tangazo haupo
Wewe ndo mchawi Kama huelewi my simple logic ur useless in this planet, narudia tena kitadoda mara dufu na hauhitaji PhD kujua hilo.
Na hii story haijaniuma ila Mimi hukemea ujinga wowote humu na sio hii story tu hata mada za kipumbavu
 
Baada ya kukimbilia Telegram kukabuma, nikapita kwenye uzi wa stori nakuta wanautangaza kwa nguvu watu wajoin telegram ikawa hola sasa umerudia matapishi
 
Hii biashara itafeli kwa sababu wewe Ulileta dharau kwenyw platform inayokujua

Nina hakika nje ya humu hujulikani ndio sababu ukalazimika kutumia identity unayotumia humu

Kama wateja wa humu wataendeleza hasira Mungu akusimamie

Kama watasahau na kuganga yajayo wakanunu basi ni suala la kushukuru Mungu
U nailed it bro, shida ni kwamba wateja wa mdau wako humu akawadharau huko nje hatauza lazima wanunue hawa aliowadharau

Nao wanagoma sijui itakuwaje
 
  • Thanks
Reactions: T11
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana vitu vya bure yani hatupendi wenzetu wapigee hatua hata moja katika maisha yao. Mtu unamaindi hata story ya mtu akiamua kuigeuza fursa roho inakuuma kama vile mlishirikiana katika hiyo story.
Chief! Siku nyingine tumia neno "baadhi" kwa maana siyo watanzania wote tunafanana tabia. Nakutakia siku njema na maisha mema!!
 
Hongereni Sana kwa ujasiliamali ,Umenikumbusha The Bold aka Habibu na Simulizi zake.
 
Wewe ndo mchawi Kama huelewi my simple logic ur useless in this planet, narudia tena kitadoda mara dufu na hauhitaji PhD kujua hilo.
Na hii story haijaniuma ila Mimi hukemea ujinga wowote humu na sio hii story tu hata mada za kipumbavu
Acha kumtakia mabaya mwenzako wewe, unaonekana una roho mbaya wewe mwanamke sasa kikidoda we utapata faida gani?? Wewe ni mwanamke wa ajabu kabisa humu jf.
 
Hii biashara itafeli kwa sababu wewe Ulileta dharau kwenyw platform inayokujua

Nina hakika nje ya humu hujulikani ndio sababu ukalazimika kutumia identity unayotumia humu

Kama wateja wa humu wataendeleza hasira Mungu akusimamie

Kama watasahau na kuganga yajayo wakanunu basi ni suala la kushukuru Mungu
Mkuu uchawi si mpaka kubeba matunguli, kumtakia mwenzio mabaya ni uchawi tosha.Acha wivu Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom