Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Sio kila kitu kinafaa kila mtu, deal na unavyovimudi. Hivyo unavyoviona ni nondo kuna wengine wanaviona ni upuuzi mtupu.
Vipo vitu vingi vimefanyika huko mtaani na chanzo chake ni hapa JF, so kusema huwezi kwenda telegram kwasababu wewe umejiunga na jf tu huo ni uzwazwa.
Anyway najua ile story uliipenda sana na ungetamani uendelee kuisoma ila kwa vile una maisha magumu kiasi kwamba umekosa sh 1000 ya kujiunga telegram naomba tu nikupe pole na nikushauri uongeza juhudi katika kudanga ili upate hela kwasababu hamna namna unaweza kupata hela tofauti na kujidangisha
Umeandika nonsense tupu hafu kukosa buku sio dhambi kabisa, so usinimalizie hasira KWA listori lenu kudoda huko telegram Hadi mumerudi huku. Mimi Niko JF na sikutaka kwenda huko kusudi. Mlifikiria story ilipopata views laki Moja JF ni sawa na telegram muwe mnatumia akili siku nyingine JF ni platform kubwa ya kufikia wengi. Bakini na likitabu lenu na litawadodea mpaka mshangae
 
Sorry, kuchapisha kitabu ni gharama kiasi mkuu?
Inategemeana na idadi ya copy na mchapishaji unayemtumia.
Katika printing kadri unavyochapa nakala nyingi ndivyo bei inavyopungua, pia kuna makampuni yNa gharama kubwa na mengine gharama yao ni kawaida.
 
Mkuu itapendeza kama utatoa connection ya hao watu.
 
Usidhani wanakufanyia hisani, uwepo wako na content zao kunawafanya wapate matangazo yani wanatengeneza pesa indirect. Ni sawa ufikirie wale wanaoweka video youtube wanakufanyia hisani, wale nao wanatengeneza pesa indirect kwa adsense na in video promotion. Sasa waandika hizo story wakitaka kutengeneza pesa wafanyeje?
Wewe hujaelewa nilichomaanisha hayo ya matangazo najua Sana tu hilo, what I meant ni kila mtu anayeanzisha mada aanze kulipwa au kuchangiwa hela, maana since I started using this forum ndo naona mtu akiandika alipwe si aende kuna site kubwa zinajulikana na watu wanaandika Ili kupata Access unanunua, sasa kila ntu akisema alipwe itakuwaje?
 
Marketing strategies, ndo maana hata movie unaoneshwa trailers. Au tips kadhaa.

Mimi naona kama mmechukulia issue very personal.
That was poor strategy to me na sio personal matter, na hyo story niliikuta katikati kabisa karibia mwishoni, and by the way kwanini wasiwe wanapeleka huko telegram Moja KWA Moja kuliko kuanza mwanzo then you change. Maana to me hyo story ya kupotezea mda na sio serious matter ka story za siasani au intelligence huko
 
Siyo lazima, bali ubaki kuwa uamuzi wa mtu kutoa chote bure au kutoa kiasi. Asilaumiwe mtu kwa kutaka wanaotaka kuendelea kusoma walipie maana huenda anakula kwa kalamu yake, ni mwendo wa kukamata fursa.
That's was my opinion as yours so relax, and I'm not blaming anyone
 
Watu wengi wemekuwa wanaitumia hii platform kwa marketing, na binafsi nilisha jitune kwamba story za humu hasa hadithi za utunzi zinaishia mahali fulani then tunaambiwa kuendelea nunua kitabu au lipia WhatsApp group.

Hii ya huyu jamaa inaweza kuwa inatuumiza kwa sababu ilikuwa tamu na ilivuta sana hisia zetu, mimi nilishajiandaa muda tu kwamba itakatishwa, kuna muda nilipost comment ya joke kwamba itakatishwa, nilitumiwa dongo moja la ukweli nikawa mpole. Baada ya muda ikasimama.
Basi wawe wanalipia tangazo na Kodi maana humu JF most story nyingi huishia humu mbona kitoabu story yake was very interest and majority tulijua mengi tofauti na uchawi very common, na sio kila Jambo utafanya Ili likutoe umaskini mengine ni kuelimishana tu, knowing na nature and culture yetu people don't read books so hatuhitaji kila Jambo liwe hela tu na kupeleka story huko kulipoteza mvuto kabisa
 
Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee[emoji38][emoji38][emoji38]

Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii biashara itafeli kwa sababu wewe Ulileta dharau kwenyw platform inayokujua

Nina hakika nje ya humu hujulikani ndio sababu ukalazimika kutumia identity unayotumia humu

Kama wateja wa humu wataendeleza hasira Mungu akusimamie

Kama watasahau na kuganga yajayo wakanunu basi ni suala la kushukuru Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom