HahaahahahaaHata hivyo hakuna anaye weza kukupa
HahaahahahaaHata hivyo hakuna anaye weza kukupa
Yaani sh 1000 ndio inakufanya upayuke hivi! Hata kama hali ni ngumu, this is too much aise.Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee😆😆😆
Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
Hatuna wivu, Ila alitu disappoint wengi kaja kujitaftia umaarufu Ili apige story si angesema tu mwanzo wa story. Dah Mimi hata ukinipa bure sisomi hicho kitabu mzuka ulishakata kabisa
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana vitu vya bure yani hatupendi wenzetu wapigee hatua hata moja katika maisha yao. Mtu unamaindi hata story ya mtu akiamua kuigeuza fursa roho inakuuma kama vile mlishirikiana katika hiyo story.Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee😆😆😆
Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
Na Mimi sitaki kukiona kipelekeni telegramHata hivyo hakuna anaye weza kukupa
Bora angeendeleza story hapa hapa hafu askip some parts za story aziweke kwenye kitabu yeye kuona story inafatiliwa na wengi akaota mapembe hata huko telegram haja meet expectations zakeYes ukweli usemwe! Awali alitudharau but right now anaona tuna umhimu, si vzr kuwadisiapointi watu alafu urudi tena bila kuomba radhi ukihitaj kampani yao. Binafs siwez ata kukipigia chapoo kwa marafk zangu wapenda kusoma vitabu ambao hawapo jf[emoji57], yes bora ikae hivo[emoji850]
Hata 200 ni kubwa what is the essence of JF, maana Mimi nimejiunga JF na sio telegram, pia JF Kuna watu wa nondo ambazo zinasaidia kujenga nchi na hawatozi watu hela, so acheni kutetea huo ujinga wa telegramYaani sh 1000 ndio inakufanya upayuke hivi! Hata kama hali ni ngumu, this is too much aise.
Kwahyo na wewe kutumia JF unataka utozwe helaSijui kwanini watanzania tunapenda sana vitu vya bure yani hatupendi wenzetu wapigee hatua hata moja katika maisha yao. Mtu unamaindi hata story ya mtu akiamua kuigeuza fursa roho inakuuma kama vile mlishirikiana katika hiyo story.
Huwa naheshimu mawazo yako ila nimegundua kitu kimoja kutoka kwako una dharau, chuki na wivu uliopitiliza kiwango wewe mpare, ndio maana hadi sasa ndoa unaitafuta kwa tochi unaishiwa kuchezewa na kuachwa hakuna mwanamme timamu ataoa mwanamke mwenye mdomo mchafu kama huu wako.Hata 200 ni kubwa what is the essence of JF, maana Mimi nimejiunga JF na sio telegram, pia JF Kuna watu wa nondo ambazo zinasaidia kujenga nchi na hawatozi watu hela, so acheni kutetea huo ujinga wa telegram
[emoji23][emoji23][emoji23]hasira za nini acha upumbavu wewe ndoa labda mamako ndo atafte, leo nimekuwa mpare humu, Jana nilikuwa msukuma tena, leo natafta ndoa, mwaka Jana nilikuwa single mother leo mpare. Tafta hela umaskini mubaya Sana, ukiwa na hela stress zitakuisha.Huwa naheshimu mawazo yako ila nimegundua kitu kimoja kutoka kwako una dharau sana wewe mpare, ndio maana hadi sasa ndoa unaitafuta kwa tochi unaishiwa kuchezewa na kuachwa hakuna mwanamme timamu ataoa mwanamke mwenye mdomo mchafu kama huu wako.
Siwezi kupita kimya nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, alipeleka story telegram kaona imebuma kaleta humu, imagine kila anayeanzisha Uzi atakwe kulipwa humu, au ambembelezwe story, yakimshinda arudi hyo waona sawa.Mimi na wewe ni nani ana stress ya maisha? Punguza chuki kwa watu usiowajua kulikuwa na umuhimu gani wewe kuanza kumchafua kijana ambaye amekuja kutangaza kitabu chake humu ndani? Ningekuona wa maana sana kama ungepita kimya pasipo kutia neno sasa maneno yako ya chuki yatakusaidia nini, punguza uchawi na sura yangu ngumu hiyo kama ya kiume.
Haki na deraa.Kwa wivu huu mda so mrefu utavaa shera