Lwambano wa Clouds FM hajui miaka 60 ya Uhuru wa nchi gani!

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Nimesikiliza kipindi cha michezo cha radio ya Clouds kinachoanza saa saba mchana kila jumapili.

Nimesangaa mno Lwambano, ambae ni mtangazaji, akimuuliza mchambuzi mbobezi wa soka Amri Kiemba kuwa miaka 60 ya Uhuru ni ya nchi gani?
 
Hilo ni swali critical ndugu.
Hata wewe ukiulizwa nina uhakika hautakuwa na jibu la uhakika.
Hivi ni uhuru wa Tanganyika au Tanzania?
Ni TANGANYIKA. Mwaka 1961 tarehe 9 desemba nchi inayoitwa TANGANYIKA iliyopo Afrika Mashariki ilipata Uhuru wake toka kwa Mwinglishi. Hakuna cha Tanzania wala Tanzania Bara hapa, tena hiyo nchi inayoitwa Tanzania Bara mbona kwenye ramani haipo?
 
Back
Top Bottom