Lwakatare mahakamani na HATIMA yake leo

Lwakatare mahakamani na HATIMA yake leo

Status
Not open for further replies.
gaidi hana haki hata moja.

wewe unazungumza kwa sheria ulizotunga wewe na mke wako au kwa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Mahakama kuu ilimfutia makosa ya ugaidi wewe unasema ni gaidi? Pili hata kama ana tuhuma za ugaidi kesi haijaanzaa wewe unamhukumu tayari? na pia hata akiwa amehumiwa kama gaidi bado ana haki zake kama mfungwa,.wewe unasema gaidi hana haki hata mmoja? Hii jamii forrums imegeuka kijiwe cha kahawa na sehemu ya wapayukaji tuu! kwa nn moods msiwe mnaondoa comments za kipuuzi kama hizi na kuwaonya wahusika?hadhi ya hili jukwaa inaporomoka kwa kasi sana!
 
Kuna uhuni wa kuudhi sana kwenye suala hili, huyu hakimu anajikanyaga kanyaga tu
 
Kamlisha nani sumu na kamtesa nani kama ushahidi unao kwa nini usiutoe mahakamani au ndio unataka ukautoae kuzimu kama Mume wako Mwigulu alivyosema anao then kaambulia patupu.Acha uzabizabina wewe fisadi kiwembe!!Kesho ikiwa kwako utajisikiaje au unaona wewe ni mtakatifu ipo siku na wewe utapikiwa kesi na hapo utakumbuka,Nikupe akiba ya maneno wakati nasoma primary school miaka ya 90 Mwl mkuu wangu alijigamba kuw mie siwezi kuwekwa ndani na Police kwani mie niko makini lakini hata haijaisha mika miwili chali then mahakamani then kashindwa kesi akahukumiwa miezi sita au alipe faini.Sasa mkuu kama hujanielewa leo basi utanielewa kesho.

mkuu umeipata hii??
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
 
kwa hiyo tuamini hizo propaganda zenu muonye anatembea na shetani alishadadia watu kuchinjwa shingo,wengine anawabanika kwenye majukwaa baada ya chama chake kumwagia tindikali asije akawa asusa ya mwigulu chejea mwigulu wewe
 
mkuu umeipata hii??
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na
MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana

What's the point here? Kila siku VIRUKA NJIA wanafukuzwa na watu mitaani kutokana na mavazi yao na hulka zao!

MALAYA.bmp
 
Kesho c mbali kitaeleweka tu na nadhani inabidi eleweshwe vizuzuri maana ya ugaidi make kama njama za kutaka kuteka mtu wa kawaida ni ugaidi basi hapa Tanzania magaidi wengi sana japokuwa sheria hazifanyi kazi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Labda nikukumbushe alichofanya lwakatare ni kwamba alipatikana na kosa la kigaidi la kupanga kumdhuru mhariri wa gazeti la mwananchi ndugu denis msack nadhani umepata picha mkuu.
Lwakatare hajawahi kupatikana na kosa unalodai. Bado ni yeye ni mtuhumiwa tu!
 
Kesho c mbali kitaeleweka tu na nadhani inabidi eleweshwe vizuzuri maana ya ugaidi make kama njama za kutaka kuteka mtu wa kawaida ni ugaidi basi hapa Tanzania magaidi wengi sana japokuwa sheria hazifanyi kazi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Basi hata yule aliyesema liwalo na liwe na likawa kwa dr uli..basi ni gaidi tena la kimataifa!!!!magamba haya mnayoyanena yatawarudia siku moja!!!
 
Si nasikia jana alisema kuwa "CCM NI CHAMA KILICHOJAA MAFISADI?"
mkuu umeipata hii??
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
 
mkuu umeipata hii??
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
Lazima atakuwa amekunywa bia za watu lol!, mwambieni ukila vya mtu lazima nawe uliwe by JK.
 
Unaujua Umkhonto we Sizwe ni nini na ilikuwa inafanya nini SA tena kwa support kubwa ya CCM? Mbona washika bahasha mu wagumu sana kuelewa mambo mepesi tu?

Umkhonto we Sizwe (abbreviated as MK), translated "Spear of the Nation," was the armed wing of the African National Congress (ANC), co-founded by Nelson Mandela, which fought against the South African government. MK launched its first guerrilla attacks against government installations on 16 December 1961. It was subsequently classified as a terrorist organisation by the South African government and the United States, and banned.

For a time it was headquartered in Rivonia, a suburb of Johannesburg. On 11 July 1963, 19 ANC and MK leaders, including Arthur Goldreich and Walter Sisulu, were arrested at Liliesleaf Farm, Rivonia (26°2′36″S 28°3′15″E). The farm was privately owned by Arthur Goldreich and bought with South African Communist Party and ANC funds, as individuals who were not deemed "White" were unable to own such a property under the Group Areas Act. This was followed by the Rivonia Trial, in which ten leaders of the ANC were tried for 221 acts of sabotage designed to "foment violent revolution". Wilton Mkwayi, chief of MK at the time, escaped during trial.

The MK carried out some bombings of civilian, industrial and infrastructural sites. The tactics were initially geared solely towards sabotage, but eventually expanded to include urban guerrilla warfare. Notable among these were the 8 January 1982 attack on the Koeberg nuclear power plant near Cape Town, coinciding with the 70th anniversary of the formation of the ANC, the Church Street bombing on 20 May 1983, killing 19 civilians, and the 14 June 1986 car-bombing of Magoo's Bar in Durban, in which 3 innocent people were killed and 73 injured. The total number of civilian people killed or injured in the 30 years of MK's campaigns is not known. MK alone was not a military threat to the state, but the ANC leadership saw MK as the armed component of a strategy of "people's war" that was primarily geared towards terrorising the masses for political support.

MK suspended operations on 1 August 1990, in preparation for the dismantling of apartheid, and it was finally integrated into the South African National Defence Force by 1994

Thanx kwa shule!
 
Na hili ndilo tatizo la mahakama zetu, wanasubiri kikoa cha NEC ndio watoe maamuzi? au tatizo nini? makamanda wakiandamana wanaambiwa wakorofi. Haki huwa haiombwi hupiganiwa.
 
Mahakama ya katiba mpya chini ya Utumishi wa Umma ambao ni wateule wa RAis!! Tanzania Bhana!!
 
Siku akiachiwa huyu GAIDI, nitailaumu serikali sana.

Huyu jamaa ni hatari sana kwa waandishi wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom