Hakika mahakama imekosa kuwa mhimili kwa Taifa letu ila ngoja tu kwa haki siku zote haijawahi kushindwa!
Mungu mwenye haki kaonekane daima kwani kwako hakuna kinachoshindikana!
Hata hiyo kesho tusitegemee kama atapata dhamana. Mtoa dhamana atakuwa anasubiri majibu toka kwa boss na sio kupitia ombi kwani kesi hiyo inafahamika ina dhamana na sio la kupekua sana.
Mahakama za Tanzania hakuna mfano wake duniani!!! Of course kila kitu bora liende!!! Hakuna uwajibikaji!!! Negligence kwa kwenda mbele ili mradi mwisho wa mwezi bakuli linajazwa plus zile za mlango wa uwani!!!
Yule jamaa wa IKULU aliyemteka Ulimboka ananeemeka kwa maovu yake, Mtu asiye na kosa na kwa ushahidi wa kutengenezwa anateseka kiasi hiki kweli!!!! Ipo siku watajuta kwa haya yote wanayoyafanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.