Lwakatare mahakamani na HATIMA yake leo

Status
Not open for further replies.
acha ujuha ww...huyo gaidi hatumtaki huku uraiani.
mungu hawezi kuwa upande wa walisha watu sumu, magaidi na watesaji
Ataongezewa mashtaka ya kupanga kumwagia watu tindikali
Anatakiwa aendelee kukaa jela ili akome kupanga mateso na utekaji kwa waandishi wa habari.
gaidi hana haki hata moja.

Mwenye kuamini katika utawala wa Sheria hawezi kuandika haya mliyoyaandika...
Nina wasiwasi hata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hamjaipitia vizuri na kuielewa...
Mnatoa hukumu kwa kusikiliza tu habari za mtaani na wala sio kwa mujibu wa Sheria...

"Elimu ni yale maarifa yanayobaki baada ya mtu kumaliza shule"
 
inauma sana haki kuminywa namna hii, inabidi hata mhimili wa mahakama hapa nchini uwe huru, kuanzia jaji mkuu na wengine wasiteuliwe ila iwe post ya kuomba na ipitishwe na bunge

Aliposhinda Lema, mahakama ilikuwa inatenda haki au sio? leo hata hukumu haijatolewa imeshakuwa mahakama haina uhuru?

Jee hujui kuwa mhimili wa Mahakama uko huru? soma uelewe kijana.
 
Nimeswali leo saa tisa usiku,nimeongea na mwenyezi ameniahid kua leo tutakua nae uraian.i beleave with God. Hebu sasa tumuachiyeye alio tuumba,lwakatare amekosa nini mpaka ateseke?alipo mwenyez shetwan hua anaufyata so we're going to see picha mpya na upande wa haki unakwenda kushinda kwa kishindo
Labda nikukumbushe alichofanya lwakatare ni kwamba alipatikana na kosa la kigaidi la kupanga kumdhuru mhariri wa gazeti la mwananchi ndugu denis msack nadhani umepata picha mkuu.
 
Kwa kitenfo alichopanga kufanya rwakayare ni vema aendelee kukaa rumande.hii itamsaidia kujutia kosa lake.
 
Labda nikukumbushe alichofanya lwakatare ni kwamba alipatikana na kosa la kigaidi la kupanga kumdhuru mhariri wa gazeti la mwananchi ndugu denis msack nadhani umepata picha mkuu.
Masalia bwana munadhani nchi hii ni ya mama zenu munajidai kwa sababu raisi dhaifu ameocuppy IKULu ole wenu
 
Kuna uwezekano wa kuambiwa kuwa Hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hii ameomba kujitoa hivyo kesi inahairisha mpaka mwezi ujao ambapo itapangiwa Hakimu mwingine wa kuisikiliza.
 
leo watakuja tena na lingine,
mara ugonjwa, mara likizo,
leo atakuwa kafiwa, daaah
hii nchi ngumu sana.
 
Makamanda,niko mahakamani.wantu wamejaa nyomii..leo Lwakatare asipopata dhamana lazima tuandamane.hatuwezi chezewa akili na vichaa wa kijani.tumejipanga kitafuta haki leo kwa ncha ya upanga.uvumilivu umetatushinda kama Lwakatare hatapewa dhamana...Nchemba kokote uliko.sali sala zako za mwisho.aibu hiyooo inakuja.sijui utapeleka report gani juu ya failure of 'the video plan' pale maskani Lumumba.waskhaj hawatakuelewa broo.jipangeee!
 
Leo tutasikia excuse nyingine... Mwigulu bado anaamini kuwa atarudisha shtaka la ugaidi...
 
I have sent an abuse report .... just waiting

Today, 08:13
habariyamujini
JF Senior Expert Member

This message is hidden because habariyamujini is on your ignore list.

View Post



Today, 08:18

habariyamujini
JF Senior Expert Member

This message is hidden because habariyamujini is on your ignore list.

View Post



Today, 08:19

habariyamujini
JF Senior Expert Member

This message is hidden because habariyamujini is on your ignore list.

View Post
 
Labda nikukumbushe alichofanya lwakatare ni kwamba alipatikana na kosa la kigaidi la kupanga kumdhuru mhariri wa gazeti la mwananchi ndugu denis msack nadhani umepata picha mkuu.

JF inavunjiwa heshima kwa mabandiko kama haya hasa kama moderators wana yaacha yaendelee kuwepo kwa upotoshaji huu mkubwa!

Lwekatare alifutiwa shtaka la UGAIDI na shtaka lake la njama ya kumpa mwandishi sumu linadhaminika!

Sheria gani inasema nikipanga njama ya kukupa ww sumu ni ugaidi?Kama huo ni ugaidi basi ule uliofanyika kanisani Arusha ni nini?Mods toeni u p u p u wa huyu jamaa;anapotosha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom