GIB
JF-Expert Member
- Mar 2, 2012
- 336
- 92
habari ya Goma. mapambano yanaendeleaje? au umeshakimbilia tena Tanzania. Kama upo Tz please rudi zako Goma
gaidi hana haki hata moja.
gaidi hana haki hata moja.
Mchonga mpango Mwigulu Nchemba yuko busy na kimada wake mpya Juliana Shonza
lakini mkuu hili la hakimu kwenda likizo na funguo za mahakama limekaaje?Aliposhinda Lema, mahakama ilikuwa inatenda haki au sio? leo hata hukumu haijatolewa imeshakuwa mahakama haina uhuru?
Jee hujui kuwa mhimili wa Mahakama uko huru? soma uelewe kijana.
na wewe ni great thinker???? look at you!!!!!!!!Leo wewe ndiyo upo zamu? Naona semina elekezi ya lumumba inafanyakazi, kila mlumumba achangie uharo zaidi ya mara kumi na tano kwenye post moja ili tuweze kukabana na hawa makamanda wa magwanda,si unajua walivyo wengi?na walivyo na hoja nzito? Komaeni vijana,hoja ya kuwaongeza posho ipo mezani.
Na wewe umejionaje? si bora uandike kwa kiswahili tu...na wewe ni great thinker???? look at you!!!!!!!!
Ulitaka akuwachie wewe?lakini mkuu hili la hakimu kwenda likizo na funguo za mahakama limekaaje?
Leo utasikia hakimu anasumbuliwa na busha ameshindwa kufika mahakamani
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imeshindwa kwa mara nyingine kumpa dhamana mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatare.
Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amesema ameshindwa kutoa uamuzi kwa sababu alikuwa likizo na anaomba siku ya leo aitumie kwa kupitia maombi hayo ya dhamana.
Hakimu huyo amesema atatoa uamuzi wa ama kutoa dhamana ama kumnyima dhamana Lwakatare kesho saa 2 asubuhi.
Viwanja vya mahakama vilifurika umati mkubwa wa wafuasi wa Chadema ambao muda wote walikuwa wakiimba Peoples Power!