kwa hiyo yuko nje kwa dhamana au bado yuo rumande.
yupo rumande
kwa hiyo yuko nje kwa dhamana au bado yuo rumande.
Daima Ukweli utashinda Uongo na haki itashinda dhuluma; Mwigulu Nchemba na vikaragosi vyako jifunze kuandika business plan before you embark on a project!
It appears Mwigulu Nchemba has a very very low IQ hawezi kuplot njama inayoweza kufaulu. hamna honours degree pale ni debe shinda!
We can give you free consultancy!
pasco mzee wa "Bonafide genuine"
Hii ni habari njema, pole sana Bw. Lwakatare kwa usumbufu, kero na taabu ulizopata kwa kipindi chote wewe mwenyewe, familia, jamaa na marafiki pia.
HAhahahaah! akipata seat kwenye daladala atatuma vizuri ujumbe huu.Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?
mkuu naomba huachane naye huyu jamaaa mb.......wa kabisa, yaani ni k.e.n.g.eMwigulu sijui litaficha wapi uso wake liuaji likubwa. Linapakazia watu kesi ili likatembee na wake zao. Itafika zamu yake!
Glory be to God.
Mwigulu move zake zinachuja haraka sijui kwann?
Vijana wa Lumumba si rahisi kuwaona kwenye misiba kama hii. Naita misiba kwa sababu episodes zote wanafeli vibaya sana.Kwenye uzi huu mbona vijana wa lumumba siwaoni? Au ndo wanapanga mbinu zingine?
Nadhani sasa ni wakati turudi kwenye ujangili maana jamaa kapumua sana hizi siku tatu.
CCM imebuma!