commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,622
- 872
Leo Lumumba team wanakufa na njaaa..................Mungu wahurumie hawa maskini wa mawazo
wapi lukosi... Wapi chama, wapi wingu, wapi sumu, wapi bungeni.................. Leo hakuna cha buku7 hapo... Kwishney mkajinyonge sasa maana mlijiapiza kuwa lawakatare lazima atinge lupango milele
wapi Pasco...........njaa zitakuua mkuu
kunamtu anaweza kushindana na ukweli???