Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?
sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.
huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
JAMAA WE NI BONGE LA KILAZA....ukishajadili huu mgogoro kwa mwitikio wa imani yako "Religious fanaticism" kama unavyofanya hapa ....utakaa uelewe kitu...toa uharo wako hapa tushachoka...
watu wanauana unakenua mano...