Lutheran Mtwara kimenuka tena...

Sijaelewa chochote hapa....
 
Vipi mapadri wanaolawiti watoto na kuzini?

Vipi masister wanaozini kila uchao?
Wewe hujawahi kuzini? Au hata wazazi hawajawahi kuzini ? Huo ni udhaifu binafsi na si policy ya dini/dhehebu!
 
Taarifa nzuri na amejitahidi kufikisha kwa muda na amehaidin kuendelea kutujuza, nadhani taarifa ya pili itatulia kwani utulivu utazidi.


Ulivyo msifia na kujihakishia kuhusu hiyo taarifa ijayo kama vile mwapiga kolabo na aliye anzisha uzi au ni wewe.

Mawakala wa yule mnyama na nabii wa uongo utawajua tu kwa maneno na matendo yao. Cha ajabu siku zote tunasikia kelele zikipazwa kuhusu
yule mnyama wa chapa 666. Ila huyu nabii/prophet wa uongo husikii kamwe akitajwa as if Biblia haija mzungumzia.

Ufunuo 19:20 na Ufunuo 20:10 huyu nabii wa uongo anayetajwa sambamba na yule mnyama ni nani huyu? Anaye onewa haya kuongelewa?
 
Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Kweli hayati baba wa taifa alikuwa sahihi aliposema dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu.. Mmemaliza kusema wale waislamu na sisi wakristo na sasa mmeanza kubaguana wenyewe.
 
Shame!uzinzi wako uwasingzie wengne!lol!mkuu kanisa la catholic,is a real devil worshiper,
Mimi sitakutukana na kupa facts! Factum
Henry VIII of England started his own religion when the Pope refused to annul his marriage to Catherine of Aragon. He created the Church of England, appointed himself Supreme Head and granted his own annulment
Wakatoliki walikuwa hawaoi mke zaidi ya mmoja na kulikuwa hakuna talaka. Huyu kwa sababu ya uzinzi akataka Papa atengue ndoa aoe mke mwingine. Papa akakataa... akaamua kuanzisha kanisa lake na kuoa! Mzinzi!
 
Uandishi wako wa hovyo sana mkuu, jaribu kuwa unapo andika kabla ya kupost uhariri kwanza ili ujumbe wako uwe umeeleweka vizuri zaidi kwa wasomaji
 
Ndo umeleta nini sasa, ungetulia ukaandika vizuri, haraka ya nini?
Hiv unafikir ana haraka kwan?
Haki ya Mungu jamaa ndo huenda kamaliza upeo wake wa kuandika hapo.
Writing n fan jaman tena fan za watu

Jf ina mambo jaman
 
Ni ujnga wa imani mambo ya kiimani kuyaleta humu maana hautapata lolote la maana zaidi ya kudharilisha huko unako abudu,migogoro ya kiimani kuileta kwa wa dunia ni kulitukanisha kundi lako,
Kila jambo lina mahala pake panapoweza leta tija,humu ni kulitukanisha kundi,
Ww ni muumini kidonda ktk mwili wa dhehebu lako,wenzako wapo bize kuomba na kuhakikisha hilo linaisha wewe upo busy na kisimu chako kuchukua matukio upate la kutoka nalo humu,
Ungekuwa wa maana ungekuwa moja ya watu wanaopigania amani irudi kwa kuumiza kichwa kutafuta suruhu,
Mm siyo wa madhebu hayo lkn nimekudharau sana kwa unachokifanya maana ni sawa na kujivua nguo hadharani ukidhani unamkomoa mtazamaji,
 
Hlf jukwaa la siasa unailetaje huku, kumbe kanisani huwa unaota siasa tu, unaandika ukiwa kanisani?
Jamaa kaamua kutuoneshea kiwango cha ujinga wake kiimani,
Ina maana hajui ama humo alipo siyo nyumba ya kumuabudia MUNGU,maana km unajua umeenda mahala unapokutana na Mungu wako hatuwezi enda kufanya ujinga huu,lazima utakuwa na adabu sababu ya unaemuabudu,huyu ni muumini kidonda,
 
Nashukuru kama wamemaliza vizuri, askofu katumia busara kuomba radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…