Lutheran Mtwara kimenuka tena...

Acha kusifia kanisa,bdala yakusithbisha imani yako!kama catholic ni imara mbona mapadri na masister wanagegedana na mnaabudu sanamu!?.eti catholic.!!bora upagan kuliko kuabudu sanamu.
Huelewi maana ya sanamu. Nakuachia hapo watakuja wengine wakueleweshe
 
Makanisa mengine haya yalianzishwa na wahuni kujitafutia mamlaka na mlo. Lingine lile lilianzishwa na mzinzi
Shame!uzinzi wako uwasingzie wengne!lol!mkuu kanisa la catholic,is a real devil worshiper,
 
Acha kusifia kanisa,bdala yakusithbisha imani yako!kama catholic ni imara mbona mapadri na masister wanagegedana na mnaabudu sanamu!?.eti catholic.!!bora upagan kuliko kuabudu sanamu.
kausha mkuu, atakimbia sasa hivi watu wakifunua wanavyo tendewa watoto wadogo toka kwa wakatoliki.

Ameongozwa na mahaba juu ya kanisa lake na kauacha ukweli
 
Acha kusifia kanisa,bdala yakusithbisha imani yako!kama catholic ni imara mbona mapadri na masister wanagegedana na mnaabudu sanamu!?.eti catholic.!!bora upagan kuliko kuabudu sanamu.
Kuna rafiki yangu alitongoza sister na akamgegeda kabisa
 
Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Huwezi kukuta tuhuma.za kula sadaka au fedha za kanisa wala waumini kumpinga mteule au kiongozi wake.
 
Vipi mapadri wanaolawiti watoto na kuzini?

Vipi masister wanaozini kila uchao?
HiO ni kashifa tu za walioshindwa. Ndani ya wakatoliki wenyewe hutosikia hayo malalamiko, unajiuliza hao wanaolalamikia mapadre wamekutana nao wapi? Sisi tunaishi nao na kushirikiana nao hizo tuhuma hatuzioni. Hutosikia padre kala sadaka wala kupingwa au kukashifiwa na waumini wake.

Mtu mmoja tu simpendi nae ni yule mzee aliyeshiba maharage mwaka juzi.
 
Wewe upo kanisani kusali au kiumbea mbea maana wenzako wanaimba pambio wewe unatuandikia uzi kama unafukuzwa na Mbwa, Tulia kwanza rekodi halafu andika uzi au unaogopa wataandika wengine
 
Weeeee warutheli wako vizuri sana
Hahahahaaa utasikia kuna mgomo huko rukwa wamemkataa kiongozi aliyeteuliwa, au utasikia kura zimeibiwa kwenye chaguzi.

Ndio maana doctrine ya kanisa ni kuweka vijana wasiooa wala kuolewa ili wasiingie kwenye mtego wa kutumikia matumbo yao badala ya kumtumikia Mungu.
 
Andika ukiwa umetulia ueleweke..
Au unaandika ukiwa kwenye choo cha shimo..!?
 
Kwa uandishi huu wa mwendo kasi bora tu kinuke.
 
Taarifa nzuri na amejitahidi kufikisha kwa muda na amehaidin kuendelea kutujuza, nadhani taarifa ya pili itatulia kwani utulivu utazidi.
 
Makanisa mengine haya yalianzishwa na wahuni kujitafutia mamlaka na mlo. Lingine lile lilianzishwa na mzinzi
Hivi unajuachimbuko la cathoric?? Au nawewe ndio muumuni wa nabiii Tito
 
Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Nafikiri sio busara kuanza kukashifiana madhehebu . Kila mtu ataumia kama tutaruhusu Hilo kutokae . By the way sisi wakristo tunapaswa kupendana kama Mungu alilivyolipenda kanisani hata akamtoa mwana wake wa pekee ili wote tupate wokovu. Sio vzr tukianza kugombana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…