Lusinde (CCM-Mtera) apendekeza watwangane kwanza Bungeni

Nilipomsikia huyu jamaa kamuondoa malecela, nilidhan ni mtu mwenye akili. Ila nilipomuona akichangia leo nilishtushwa na upeo mdogo na ufinyu wa mawazo ya bw lusinde. Sikuamini kama bado bungeni kunaweza kuwa na mtu bogus kiasi hicho!
Hii ndiyo shida ya kamati kuu ya CCM kuchakachuwa matokeo na kujidai ndiyo maoni ya Wananchi.
 
Kama alikua hana cha kuchangia angekaa kimya tu kuliko kuongea utumbo na kujidhalilisha.
 
Hii ni reflection ya waliomchagua jinsi walivyo. Fikiri tena kwamba ni wagogo hawa hawa waliomchagua Malecela kila baada ya miaka mitano hata kulipokuwa hakuna kitu kwao. Bado ni wale wale na chaguzi zao ni zile zile. Wajanja waliwapiga ccm chini.
 
Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kioja katika ufunguzi wa bunge , leo jioni pale mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu kama Bajaji aliyeangusha Katapila (malecela),
Kasema mambo ya kushangaza yafuatayo:-
1.Baadhi ya wanasiasa wanapotosha umma kwa kusema kwamba Polisi na Serikali wanapiga wananchi mabomu.. ( hapa alikuwa akimaanisha CHADEMA na tukio la Arusha)… akasema kwamba yale sio mabomu bali bi gesi lakini wanasiasa wanapotosha umma kwa makusudi, mabomu ni yale yaliyolipuka pale Mbagala na sio yanayotumiwa na polisi
2. Kampongeza Edward Lowassa kwa kujihudhuru kutoka na uzembe uliofanywa na watendaji wa chini yake katika suala la Dowans na akazidi kusema kuna watu wengine ni wagumu kujihudhuru hata kaika timu zao zinapofanya vibaya na mambo mengine mengine
3.Suala la JK kua mvumilivu kutokana na mambo yanayoendelea , anafikiwa hatua ya kuandikwa vibaya katika vyombo vya habari na kwenye mitandao… akaongeza Hivi najiuliza huyu raisi Kikwete ujeshi wake mbona hauoneshi mbona amekua mpole kiasi hiki na angekua mtu mwingine asingeweza kuvumilia…
Aliongea mengi ambayo hayana maana mbele ya watanzani wanaopigika na maisha ikiwemo gharama za Umeme kua juu, mgao wa umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, wanafunzi wa vyuo kikuu kuandamana na kupigana na mapolisi n.k
Note: huyu jamaa nimemuona ni mkurupukaji na anayejipendekeza kwa wakuu wake akitegemea fadhila ya vyeo na madaraka serikalini na CCM, sio mpambanaji wa kweli bali ni mropokaji anayeongea kufurahisha wabunge wenzake wa CCM na anavyoonekena ni mtu anaye danganyika kirahisi, na sio mwakilishi wa kweli pale mjengoni…
Wana JF naomba mmfuatilie vizuri huyu jamaa kila wakati anapoongea halafu baada ya kikao cha bunge kuisha mtaniambia
 
3.Suala la JK kua mvumilivu kutokana na mambo yanayoendelea , anafikiwa hatua ya kuandikwa vibaya katika vyombo vya habari na kwenye mitandao… akaongeza Hivi najiuliza huyu raisi Kikwete ujeshi wake mbona hauonekani mbona amekua mpole kiasi hiki na angekua mtu mwingine asingeweza kuvumilia…
Aliongea mengi ambayo hayana maana mbele ya watanzani wanaopigika na maisha ikiwemo gharama za Umeme kua juu, mgao wa umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, wanafunzi wa vyuo kikuu kuandamana na kupigana na mapolisi n.k
Note: huyu jamaa nimemuona ni mkurupukaji na anayejipendekeza kwa wakuu wake akitegemea fadhila ya vyeo na madaraka serikalini na CCM, sio mpambanaji wa kweli bali ni mropokaji anayeongea kufurahisha wabunge wenzake wa CCM na anavyoonekena ni mtu anaye danganyika kirahisi, na sio mwakilishi wa kweli pale mjengoni…
Wana JF naomba mmfuatilie vizuri huyu jamaa kila wakati anapoongea halafu baada ya kikao cha bunge kuisha mtaniambia

hiyo gesi iliua wananchi wangapi kule Mbeya na Arusha? hata kama ni gesi kwanini waitumie kuwatishia wananchi? ina maana sisi sote anatufany hatujui ipi risasi, lipi bomu, ipi gesi?

sijui ana alikua ana maana gani kumpongeza EL, ya Richmond mpaka Dowans tumeyaona na mhusika mkuu ni yeye kwa sababu yeye ndio alipitisha ile zabuni ya richmond..... au ndio anajipenyeza kwa wakubwa kiaina? amuulize mwenzake ngereja amenasa haawezi kutoka tena, acheza mbali asijipeleke kwenye domo la mafisadi atakua mtumwa maisha yake yote....

atasema nini sasa wakati mambo kibao yanamkabili, ikiwemo ahazi zake wakati wa kampeni( mnaweza kuziorodhesha hapa wadau sio mbaya kujikumbusha), Ufisadi, Dowans... hawezi kushindana na media, CHADEMA, WANANCHI....

sijui mtandao gani labda JF....
 
Tatizo la Wabunge wa CCM wako kwenye mikakati ya kurudi bungeni 2015 na kumpamba raisi wao mtarajiwa (EL), Hakuna hata mmoja mwenye nia ya kweli ya kuwasaidia wananchi
 
:A S thumbs_down:

He is another f#$^^&%^n shit from hell.........CCM

Huu mvinyo wa CCM hatari sana. Yaani bwana mdogo kazaliwa juzi leo chakari
 
Bajaji haijulikani ni nini, si gari wala si pikipiki... Mtu akijiita bajaji jua ana characters za kibajaji, ila usishangae sana ndi wanaccm walivyo wanaingia kwenye siasa si kwa nia ya kumkomboa mtanzania bali kwa nia ya kujinufaisha wao... Na tutegemee utumbo mwingi tu kutoka kwa bajaji!!
 
du acheni watwangane, watu wamezidi uongo kila siku maandamano mara kumechakachuliwa kura, wamepigwa mabomu, January Makamba hastahili kutoa hoja kwa vile ni Mbunge wa CCM alipokuwa Ikulu hakusema.
Jamani acheni pachimbike wasema ukweli ni kina Lusinde na bado mtamsikia dk 3 mbele na mgumi nyuma
MPAKA ADABU ITAPATIKANA KABLA YA 2015
 
Huyu Livingstone Lusinde naye vipi?

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kioja katika ufunguzi wa bunge , leo jioni pale mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu kama Bajaji aliyeangusha Katapila (malecela),
Kasema mambo ya kushangaza yafuatayo:-
1.Baadhi ya wanasiasa wanapotosha umma kwa kusema kwamba Polisi na Serikali wanapiga wananchi mabomu.. ( hapa alikuwa akimaanisha CHADEMA na tukio la Arusha)… akasema kwamba yale sio mabomu bali bi gesi lakini wanasiasa wanapotosha umma kwa makusudi, mabomu ni yale yaliyolipuka pale Mbagala na sio yanayotumiwa na polisi
2. Kampongeza Edward Lowassa kwa kujihudhuru kutoka na uzembe uliofanywa na watendaji wa chini yake katika suala la Dowans na akazidi kusema kuna watu wengine ni wagumu kujihudhuru hata kaika timu zao zinapofanya vibaya na mambo mengine mengine
3.Suala la JK kua mvumilivu kutokana na mambo yanayoendelea , anafikiwa hatua ya kuandikwa vibaya katika vyombo vya habari na kwenye mitandao… akaongeza Hivi najiuliza huyu raisi Kikwete ujeshi wake mbona hauoneshi mbona amekua mpole kiasi hiki na angekua mtu mwingine asingeweza kuvumilia…
Aliongea mengi ambayo hayana maana mbele ya watanzani wanaopigika na maisha ikiwemo gharama za Umeme kua juu, mgao wa umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, wanafunzi wa vyuo kikuu kuandamana na kupigana na mapolisi n.k
Note: huyu jamaa nimemuona ni mkurupukaji na anayejipendekeza kwa wakuu wake akitegemea fadhila ya vyeo na madaraka serikalini na CCM, sio mpambanaji wa kweli bali ni mropokaji anayeongea kufurahisha wabunge wenzake wa CCM na anavyoonekena ni mtu anaye danganyika kirahisi, na sio mwakilishi wa kweli pale mjengoni…
Wana JF naomba mmfuatilie vizuri huyu jamaa kila wakati anapoongea halafu baada ya kikao cha bunge kuisha mtaniambia

Du umesahau Mkuu Mbunge wa Mtera kasema bora milango ya Ukumbi ifungwe wakorofi wachapane makondee wakitoka hapo wakawaelezee wapiga kura wao
ni hapo paliponikosha waropokaji ni wengi vitendo hakuna kila siku kuonewa tu
 
hivi huyu jamaa ndio alomwangusha mzee malecela? aheli angebaki mzee yule bungeni hata kama alikuwa wa kusinzia tu!!!
 
Back
Top Bottom