Lusinde (CCM-Mtera) apendekeza watwangane kwanza Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde (CCM-Mtera) apendekeza watwangane kwanza Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtego wa Noti, Feb 8, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mbunge Lusinde wa Mtera anasema anaomba wabunge watangwane bungeni ili madhara ya vurugu yaonekane na isiwe watu kuwatumia wananchi kuwatuma wapigane ili kupata umaarufu wakisiasa!!!

  Anasema wafunge milango watwangane halaf ndio watoke nje...kazi kwelikweli!!!
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  bungeni patachimbika kama wabunge wenyewe ni waropokaji kiasi hiki!!!!
   
 3. F

  Fblukuwi Senior Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ama kweli ukistaajabu ya musa uta---------! Hivi huyu kijana mbona anatafuta umaarufu kishamba hivi? Huyu alikuwa mtu wa kijiweni wala si mbunge!
  Milango ikifungwa basi pengine wa CCM atakayetoka mzima humo ndani ni chini ya watatu maana wote ni wazee na wenye vitambi vikubwa !
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mi nakwambia kazi ipo...huyu mbunge muda si mrefu tutaanza kumuonea huruma maana hi aibu kajitakia mwenyewe!!!
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  tuanza kufungua maeneo ya kuwafunzia hawa jama kareti...au kurushiana viti
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  yani nimemshanga nilikuwa na muona pale tarime anaweseka weseka ni mara mia angebaki mzee wa malecela kwenye hilo jimbo kuliko kumleta mropokaji anayesifia viongozi mafisadi kama akina lowasa na wengineo yani nimemshangaa sana mpaka namkosea jibu sijui alikuwa amelala pale bungeni alafu akashutushwa kuchangia kujadili hotuba ya raisi
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahahah
  wandugu nawashauri msipoteze muda kufuatilia komedi za dodoma,hakuna la maana pale,
   
 8. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tatizo la watu kukimbilia siasa kwa ajili ya kufunika biashara zao haramu badala ya kuvutwa a shida za wananchi ndo hili..... Kama ngumi si amtafute francis cheka..
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  yule mbunge sijui u ccm umemlevya, hatufiki popotee kwa wabunge km hawa
   
 10. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kupigana sio ajabu kwani hata mabunge mengine ya Madola huwa wanatwangana kama kawa mfano India etc
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kweli 2015 ni mbali sana maana ni mapema sana lakini ni vurugu mechi kwa kwenda mbele duh
   
 12. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kweli zile ni comedians:clap2::popcorn:
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hadi tutoboe twenty fifteen kitaeleweka tu!
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nilipomsikia huyu jamaa kamuondoa malecela, nilidhan ni mtu mwenye akili. Ila nilipomuona akichangia leo nilishtushwa na upeo mdogo na ufinyu wa mawazo ya bw lusinde. Sikuamini kama bado bungeni kunaweza kuwa na mtu bogus kiasi hicho!
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sure tena,ujinga mwing 2tauckia,mi ntakua napatia hbr hapa,c kuhangaika na tv,wale wabunge washapewa unga wa ndere!
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  mkuu...you have said all...... asante sana... bungeni dodoma napotezea kuanzia sasa
   
 17. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nazidi kuamini wabunge makini wanatoka chadema pekee..
   
 18. Mwalimu Mkuu

  Mwalimu Mkuu Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  lakini sasa hawa jamaa ndo wawakilishi wetu lazima tuwasikilize ili wakirejea huku tuwawajibishe!
   
 19. g

  gwala Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa kalewa
   
 20. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Yeah!.... Uko sawa!
   
Loading...