Lusinde (CCM-Mtera) apendekeza watwangane kwanza Bungeni

Lusinde (CCM-Mtera) apendekeza watwangane kwanza Bungeni

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,633
Reaction score
1,657
Mbunge Lusinde wa Mtera anasema anaomba wabunge watangwane bungeni ili madhara ya vurugu yaonekane na isiwe watu kuwatumia wananchi kuwatuma wapigane ili kupata umaarufu wakisiasa!!!

Anasema wafunge milango watwangane halaf ndio watoke nje...kazi kwelikweli!!!
 
bungeni patachimbika kama wabunge wenyewe ni waropokaji kiasi hiki!!!!
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa uta---------! Hivi huyu kijana mbona anatafuta umaarufu kishamba hivi? Huyu alikuwa mtu wa kijiweni wala si mbunge!
Milango ikifungwa basi pengine wa CCM atakayetoka mzima humo ndani ni chini ya watatu maana wote ni wazee na wenye vitambi vikubwa !
 
mi nakwambia kazi ipo...huyu mbunge muda si mrefu tutaanza kumuonea huruma maana hi aibu kajitakia mwenyewe!!!
 
tuanza kufungua maeneo ya kuwafunzia hawa jama kareti...au kurushiana viti
 
yani nimemshanga nilikuwa na muona pale tarime anaweseka weseka ni mara mia angebaki mzee wa malecela kwenye hilo jimbo kuliko kumleta mropokaji anayesifia viongozi mafisadi kama akina lowasa na wengineo yani nimemshangaa sana mpaka namkosea jibu sijui alikuwa amelala pale bungeni alafu akashutushwa kuchangia kujadili hotuba ya raisi
 
hahahahahah
wandugu nawashauri msipoteze muda kufuatilia komedi za dodoma,hakuna la maana pale,
 
tatizo la watu kukimbilia siasa kwa ajili ya kufunika biashara zao haramu badala ya kuvutwa a shida za wananchi ndo hili..... Kama ngumi si amtafute francis cheka..
 
yule mbunge sijui u ccm umemlevya, hatufiki popotee kwa wabunge km hawa
 
Nilipomsikia huyu jamaa kamuondoa malecela, nilidhan ni mtu mwenye akili. Ila nilipomuona akichangia leo nilishtushwa na upeo mdogo na ufinyu wa mawazo ya bw lusinde. Sikuamini kama bado bungeni kunaweza kuwa na mtu bogus kiasi hicho!
 
hahahahahah
wandugu nawashauri msipoteze muda kufuatilia komedi za dodoma,hakuna la maana pale,

mkuu...you have said all...... asante sana... bungeni dodoma napotezea kuanzia sasa
 
nazidi kuamini wabunge makini wanatoka chadema pekee..
 
lakini sasa hawa jamaa ndo wawakilishi wetu lazima tuwasikilize ili wakirejea huku tuwawajibishe!
 
Back
Top Bottom