LeopoldByongje
JF-Expert Member
- Apr 28, 2008
- 372
- 14
Bado sijaelewa kwa nini binadamu wengine wana roho mbaya kiasi hii,Mtu uko kwenye maumivi yeye anafanya ufisadi hata kwenye afya yako.inatia uchungu.Ni kweli tunahitaji mabadiliko
Lunyungu, umenipa matumaini kwamba unarejea kwenye hali yako... i smiled when i read this part of your post, sababu kubwa ni kwamba jasiri haachi asili!!!! HUJASAHAU SOCIAL RESPONSIBILITY YAKO mara tu ulipopata kanafuu kadogo
do you have anyone we can contact in Tanzania to support kwa chochote?
Ndugu zangu wote wana JF nawapa shukrani kwa maombi yenu .Nilifika salama na niko hosp.Nimeona upendo wenu wa kweli kwangu mimi mwana jumuiya hii .FirstLady na Pakajimy mlifanya kazi kubwa . Pakajimy ulianzia nyumbani kwa mchango na hatimaye kuhakikisha kwamba nimepanda ndege usalama . Nasema asante ,
Muhimbili nilinyanyasika , walifikia hatua ya kuficha xrays lwa muda wa siku 3 nikiwa katika maumivu makali na kila nikiuliza naambiwa alioye kupiga hayupo kaemda wizarani.Nikaamua kwenda MOI kupiga upya kwa gharama mpya nako ni Manyanyaso makubwa nimepata .
Wandugu nimeweza kukaa basi nikaona niwatoe hofu .
Wameanza uchunguzi upya hapa . Dawa zangu za maumivu zote wameweka kwenye bin na Xrays zimekuwa rejected wana anza upya . Nimesha chukuliwa specimen puani , kooni na dawa za maumivu nimepewa mpya naenda hadi kufikia kukaa na kuandika .But natumia wheelchair bado naogeshwa na kuvalishwa siwezi kuvifanya hivyo mwenyewe .
Mungu ni mwema kwenye ndege nilikutana na mtanzania mtu mzima anaita ndugu Mahenge yeye alinisaidia kwkenda ****** nk .
Ijumaa naona na mtaalam na mamamuzi zaidi ni siku hiyo na nikiweza kama leo nitawapa taarifa .
Asanteni .Je kuna mtu anatakana namba yangu ? If yes let me know nitawapa .
hiyo last stmnt imenifanya nicheke kwa sauti hadi watu wanishangae, kweli tunahitaji mabadiliko!Hospitali ya TUMAINIA walinipotezea my first born kwa ungese kama waliotaka kumfanyia LUNYUNGU.
Nchi hii maisha yetu yapo rehani mikononi mwa vichaa waliohong vyuoni ili wapate digree zao.
I will walk with my gun my next visit to hospitali
is doing great, was discharged from the hospital in God willing will soon be here/JF
is doing great, was discharged from the hospital in God willing will soon be here/JF
Seems like he is now doing fineGet well soon Lunyungu.
God will heal you..
Hakika Mola amuhafu na manusuru mwenzetu kwa maradhi yamsumbuayo,Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.
Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.
Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.
Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.