Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Lunyungu;

Binafsi nilishangaa sana kukukosa kipindi hiki na najua energy yako would have been more than flavor to this election season, you are unique!!

Back to the condition yako, maumivu yake hayasemeki ,a lakini si vibaya kuomba mungu na pia kujali masharti ya daktari!! pia nadhani your condition is reversible kwahiyo omba fuata masharti

Nimesikia operesheni, je is the date and appointment set? uko ok kwenye financing ya hiyo op? au kuna namna nyingine waweza hitaji msaada??

Nakuombea upone, lakini cha maana zaidi naombea successful operation na smooth and brief process towards operation yako

we miss u...

ACID hili swali ni zuri sana lakini ni gumu kwa yeye kujibu, ni vizuri kama members tunaamua/organize chochote kitu.
Ni wazo tu
 
mkuu wangu Lunyungu....Nami naungana na wana JF wenzangu katika kukuombea upone haraka ugonjwa huu unaokusumbua....Pole sana mkuu wangu
 
Pole sana Mkuu...........tunakuombea upate kupona na urudi na afya njema
 
Pole kamanda....Mungu akutie nguvu uweze kukabiliana na hali hii....akujalie upone haraka!
 
Nimeongea na huyu member sasa hivi, na nimeweka nae muadi kuwa kesho ntamwona physically!
Will inform you on what actually transpires!

Vinginevyo, God be with this fellow!
 
Ndugu zangu wote wana JF nawapa shukrani kwa maombi yenu .Nilifika salama na niko hosp.Nimeona upendo wenu wa kweli kwangu mimi mwana jumuiya hii .FirstLady na Pakajimy mlifanya kazi kubwa . Pakajimy ulianzia nyumbani kwa mchango na hatimaye kuhakikisha kwamba nimepanda ndege usalama . Nasema asante ,

Muhimbili nilinyanyasika , walifikia hatua ya kuficha xrays lwa muda wa siku 3 nikiwa katika maumivu makali na kila nikiuliza naambiwa alioye kupiga hayupo kaemda wizarani.Nikaamua kwenda MOI kupiga upya kwa gharama mpya nako ni Manyanyaso makubwa nimepata .

Wandugu nimeweza kukaa basi nikaona niwatoe hofu .
Wameanza uchunguzi upya hapa . Dawa zangu za maumivu zote wameweka kwenye bin na Xrays zimekuwa rejected wana anza upya . Nimesha chukuliwa specimen puani , kooni na dawa za maumivu nimepewa mpya naenda hadi kufikia kukaa na kuandika .But natumia wheelchair bado naogeshwa na kuvalishwa siwezi kuvifanya hivyo mwenyewe .

Mungu ni mwema kwenye ndege nilikutana na mtanzania mtu mzima anaita ndugu Mahenge yeye alinisaidia kwkenda ****** nk .
Ijumaa naona na mtaalam na mamamuzi zaidi ni siku hiyo na nikiweza kama leo nitawapa taarifa .
Asanteni .Je kuna mtu anatakana namba yangu ? If yes let me know nitawapa .
 
Aisee kamanda ugua pole, tunaomba nguvu kuu ikuongoze na tiba ifanye kazi urejee salama kulijenga taifa.
 
ACID hili swali ni zuri sana lakini ni gumu kwa yeye kujibu, ni vizuri kama members tunaamua/organize chochote kitu.
Ni wazo tu

Kwa kweli kwa Tanzania mwisho wa siku ningaliomba msaada maani a Muhumbili kwa kweli si pa mchezo . Mimi sipokei wala sitoi rushwa na hata nikiwa katika wheelchair I refused to commit that sin .Dhambi hii ilinifanya niache kazi serikalini na kuirudia nikiwa naumwa could something else na nikaa hata kurudia kupiga xrays maana sipendi kutoa hongo .The MRI pekee costed me 350,000 na kumuona daktari hakika was hard kama kuingia mbinguni.

Kwa kifupi labda niwaeleze kwamba ninacho umwa ni

DISC has been compressed in my lower back . Maumivu yake si ya kawaida hata kidogo
Matibabu kwa Ulaya msiwe na wasi wasi ni insurance will cover all TZ sikuwa nayo .
 
Pole sana Lunyungu. Nipatie namba yako nikujulie hali, tafadhali.
 
Ndugu zangu wote wana JF nawapa shukrani kwa maombi yenu .Nilifika salama na niko hosp.Nimeona upendo wenu wa kweli kwangu mimi mwana jumuiya hii .FirstLady na Pakajimy mlifanya kazi kubwa . Pakajimy ulianzia nyumbani kwa mchango na hatimaye kuhakikisha kwamba nimepanda ndege usalama . Nasema asante ,

Muhimbili nilinyanyasika , walifikia hatua ya kuficha xrays lwa muda wa siku 3 nikiwa katika maumivu makali na kila nikiuliza naambiwa alioye kupiga hayupo kaemda wizarani.Nikaamua kwenda MOI kupiga upya kwa gharama mpya nako ni Manyanyaso makubwa nimepata .

Wandugu nimeweza kukaa basi nikaona niwatoe hofu .
Wameanza uchunguzi upya hapa . Dawa zangu za maumivu zote wameweka kwenye bin na Xrays zimekuwa rejected wana anza upya . Nimesha chukuliwa specimen puani , kooni na dawa za maumivu nimepewa mpya naenda hadi kufikia kukaa na kuandika .But natumia wheelchair bado naogeshwa na kuvalishwa siwezi kuvifanya hivyo mwenyewe .

Mungu ni mwema kwenye ndege nilikutana na mtanzania mtu mzima anaita ndugu Mahenge yeye alinisaidia kwkenda ****** nk .
Ijumaa naona na mtaalam na mamamuzi zaidi ni siku hiyo na nikiweza kama leo nitawapa taarifa .
Asanteni .Je kuna mtu anatakana namba yangu ? If yes let me know nitawapa .

Pole sana Luyunga Mungu akulinde na akujalie
Tutazidi kukuombea upone haraka Mchango wako kwa Taifa unaitajika
 
Wandugu wote namba yangu ni

+31641998601

Lakini napenda kuwaambia kwamba kura zitaibwa kwenye majumuisho so we need strong mawakala. Kura zote vituoni zitakuwa salama lakini wataongezea za CCM kule town Hall ambako kutakuwa na majumuisho ya mwisho . Nitakuja na siri zaidi .So mawakala jamani wawe strong na wakatae pesa na kulishwa chakula chao usiku ule .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom